Inategemea na aina ya mke unayemtaka. Unweza pia kwenda club, bar au wanapojiuza utapata mke. Sio lazima nyumba ya ibada mkuu. Mimi nilidhan na wewe pia ni mcha Mungu ndo maana nikaelekeza uende kwenye nyumba za ibada kupata mke. Lakini sio lazimaWapi imeandikwa mke/mme anapatikana kanisani au ndio mlivokaririshwa huko kwenu
Mbona hukujaDuh makubwa
mbona wewe hujaoa?Kazi unayo sidhani kama utayafurahia maisha kwa style hiyo, kwanini usioe kabisa utulie au uache kuhangaika kuwatafuta ma single
anahonga laki huyu jamaa? hebu mpe namba yangu tafadhali sanaYule wa laki kwa wiki ya matumizi ilimpiga chini? Na wewe unapenda wa matawi, Huku kwetu Kwamtogole isingekuchukua hata siku tatu kumpata aliye single.
Nilikuja mbonaMbona hukuja
Acha uongo mtoto wa kike, Njoo saiz basi.Nilikuja mbona
Mi nakuogopaAcha uongo mtoto wa kike, Njoo saiz basi.
Hebu acha Khabari zako, unaniogopa nn sasa hebu njoo kuna Ishu ya maanaMi nakuogopa
Hahahahaaaa, hiyo picha tu mtoto wa kike. Ama nije mm?Hilo lipicha uliloliweka tu
Haaaaaa safiCheza na calendar. Mwisho Mwisho wa Semester I, watabadilisha majibu yao!
Aka my sitakiHahahahaaaa, hiyo picha tu mtoto wa kike. Ama nije mm?
mkuu huwa unaenda na ndinga au kwa mguu,kama unaenda kwa mguu kaa usawa wa lango la kutokea,then tafuta sehemu mtu amepaki gari ya maana ujidai umeiegemea huku unachezea simu yako,mashambulizi yote uanzie hapo lazma windo linase hapo.Wakuu,
Baada ya upweke wa muda mrefu nikajisemea ngoja nianze kuwinda mabinti pale Mlimani City, so nikajiwekea kautaratibu kila siku jioni lazima nipitie pale Mlimani City kuzuga huku nikiwa nawinda totoz.
Lakini sijui ndio tuseme nina gundu au vipi, hii ni wiki ya pili tangu nimeanza kuwinda na sijabahatika kupata manzi wa kueleweka maana kila ninayebahatika kuongea nae ananiambia tayari ana mtu.
So labda mnisaidie mbinu zaidi wakuu au pia mnipe majina ya viwanja vingine wanapopatikana hawa swala kwa wingi.
Umeongea kweli sana ndugu yanguUna hela? Kama huna hela mademu wote wana watu wao nawe utaishia kuwaita mashemeji. Ila kama una hela, mademu wote wametendwa na maboifrendi wao hivyo wanauguza maumivu ya moyo wanachohitaji ni ahadi yako tu kama nawe hautowaumiza.
NakujaAka my sitaki
hirizi ya mjapan mwisho wa maneno wala huangaiki mkuuUna uchawi wa kijapan?
sasa ataoa upepo au mwanamke?Kazi unayo sidhani kama utayafurahia maisha kwa style hiyo, kwanini usioe kabisa utulie au uache kuhangaika kuwatafuta ma single
mkuu huwa unaenda na ndinga au kwa mguu,kama unaenda kwa mguu kaa usawa wa lango la kutokea,then tafuta sehemu mtu amepaki gari ya maana ujidai umeiegemea huku unachezea simu yako,mashambulizi yote uanzie hapo lazma windo linase hapo.