Hivi Mlimani City huwa hakuna mabinti single?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,813
15,078
Wakuu,

Baada ya upweke wa muda mrefu nikajisemea ngoja nianze kuwinda mabinti pale Mlimani City, so nikajiwekea kautaratibu kila siku jioni lazima nipitie pale Mlimani City kuzuga huku nikiwa nawinda totoz.

Lakini sijui ndio tuseme nina gundu au vipi, hii ni wiki ya pili tangu nimeanza kuwinda na sijabahatika kupata manzi wa kueleweka maana kila ninayebahatika kuongea nae ananiambia tayari ana mtu.

So labda mnisaidie mbinu zaidi wakuu au pia mnipe majina ya viwanja vingine wanapopatikana hawa swala kwa wingi.
 
Una hela? Kama huna hela mademu wote wana watu wao nawe utaishia kuwaita mashemeji. Ila kama una hela, mademu wote wametendwa na maboifrendi wao hivyo wanauguza maumivu ya moyo wanachohitaji ni ahadi yako tu kama nawe hautowaumiza.
 
Kazi unayo sidhani kama utayafurahia maisha kwa style hiyo, kwanini usioe kabisa utulie au uache kuhangaika kuwatafuta ma single
 
wakuu,baada ya upweke wa muda mrefu nikajisemea ngoja nianze kuwinda mabinti pale mlimani city,so nikajiwekea kautaratibu kila siku jioni lazima nipitie pale mlimani city kuzuga huku nikiwa nawinda totoz,lakini sijui ndio tuseme nina gundu au vipi,hii ni wiki ya pili tangu nimeanza kuwinda na sijabahatika kupata manzi wa kueleweka maana kila ninayebahatika kuongea nae ananiambia tayari ana mtu.
so labda mnisaidie mbinu zaidi wakuu au pia mnipe majina ya viwanja vingine wanapopatikana hawa swala kwa wingi.
mind you takwimu zinasema idadi ya watu duniani ni 7b na na karibia 2.5b ni me na 4.6 ni ke
na ki uhalisia hakuna uwiano wa 1:1 sasa jiulize kwa nini ?
 
Yule wa laki kwa wiki ya matumizi ilimpiga chini? Na wewe unapenda wa matawi, Huku kwetu Kwamtogole isingekuchukua hata siku tatu kumpata aliye single.
Nadhani anaamini Mlimani City ndio kuna wale wa standards zake!
 
Bumu likikata wafuate chuo pale kariakoo ya hall five wengi ni bikra utawakuta wakinunua mikate ili wakapike chai kwa ajili ya lunch. Wengine utawakuta kafteria usiku pale nje wakila RB.
 
Back
Top Bottom