Hivi mgawanyo wa ruzuku ya CHADEMA 2.72 Billioni uliendaje?

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,175
11,502
Kawaida chama kikipewa ruzuku ambayo ni hela ya umma, chama kinatakiwa kitangaze katika gazeti la Serikali kuwa kimepokea ruzuku ndani ya siku 9.

CHADEMA tangu kipewe kiasi hicho cha fedha ya umma hakijawahi kutoa taarifa kwa umma mpaka sasa miezi miwili.

Hii ilipelekea Bwana Abdullahaman Kinana kuhoji "wenzetu vipi mbona kimya? Mbona hamtangazi mmepewa hela ya umma mnagonga kimyakimya?"

Bila shaka jamaa Bwana MBOWE zote kaziweka kibindoni yuko anagonga mdogomdogo na maswaiba wake wa karibu wa mkoa huleee! Hamaa kweli siasa ni mradi wa kupiga hela ndefu bila jasho.

Haiseee tuanzishe vyama Bwasheee!
 
Mkoa hulee ndio Kiswahili cha wapi?
Bado ina nafasi na ya kurudi shule.
 
Ataanzaje kutangaza kwa mfano? Hivi wale wabunge 19 wa akina Mdeee wanaweza kusogeza pua kwenye hizo hela za Mbowe? Basi mgao utakuwa kati ya Mbowe na Mnyika!
 
Kawaida chama kikipewa ruzuku ambayo ni hela ya umma, chama kinatakiwa kitangaze katika gazeti la Serikali kuwa kimepokea ruzuku ndani ya siku 9.

CHADEMA tangu kipewe kiasi hicho cha fedha ya umma hakijawahi kutoa taarifa kwa umma mpaka sasa miezi miwili.

Hii ilipelekea Bwana Abdullahaman Kinana kuhoji "wenzetu vipi mbona kimya? Mbona hamtangazi mmepewa hela ya umma mnagonga kimyakimya?"

Bila shaka jamaa Bwana MBOWE zote kaziweka kibindoni yuko anagonga mdogomdogo na maswaiba wake wa karibu wa mkoa huleee! Hamaa kweli siasa ni mradi wa kupiga hela ndefu bila jasho.

Haiseee tuanzishe vyama Bwasheee!
Si CHADEMA pekee kilichopata hiyo Ruzuku. Vipi hivyo vyama vingine, vilishatangaza?
 
mama alisema "kila m2 ale kulingana na urefu wa kamba yake"
 
Mbowe, 1.7 Bilioni
Lissu , 500 Milioni
Mnyika , 200 Milioni
OC ya Ofisi 300 Milioni
 
Kawaida chama kikipewa ruzuku ambayo ni hela ya umma, chama kinatakiwa kitangaze katika gazeti la Serikali kuwa kimepokea ruzuku ndani ya siku 9.

CHADEMA tangu kipewe kiasi hicho cha fedha ya umma hakijawahi kutoa taarifa kwa umma mpaka sasa miezi miwili.

Hii ilipelekea Bwana Abdullahaman Kinana kuhoji "wenzetu vipi mbona kimya? Mbona hamtangazi mmepewa hela ya umma mnagonga kimyakimya?"

Bila shaka jamaa Bwana MBOWE zote kaziweka kibindoni yuko anagonga mdogomdogo na maswaiba wake wa karibu wa mkoa huleee! Hamaa kweli siasa ni mradi wa kupiga hela ndefu bila jasho.

Haiseee tuanzishe vyama Bwasheee!
Nasikia Babyako ndiye mhasibu wa chadema, muulize usihangaka
 
ccmu wamewai tangaza ? au wao hawapokei ruzuku ?
 
Ataanzaje kutangaza kwa mfano? Hivi wale wabunge 19 wa akina Mdeee wanaweza kusogeza pua kwenye hizo hela za Mbowe? Basi mgao utakuwa kati ya Mbowe na Mnyika!
ccmu hawapokei ? kama wanapokei vp walitangaza ?
 
Si CHADEMA pekee kilichopata hiyo Ruzuku. Vipi hivyo vyama vingine, vilishatangaza?
kidogo nmekuona ww ni great thinker , ccmu itaongoza milele kwasabab tuna kizaz cha hovyo sana , ilibid watu wajiulize hilo swali ila watu wapo busy kuwananga chadema
 
Kawaida chama kikipewa ruzuku ambayo ni hela ya umma, chama kinatakiwa kitangaze katika gazeti la Serikali kuwa kimepokea ruzuku ndani ya siku 9.

CHADEMA tangu kipewe kiasi hicho cha fedha ya umma hakijawahi kutoa taarifa kwa umma mpaka sasa miezi miwili.

Hii ilipelekea Bwana Abdullahaman Kinana kuhoji "wenzetu vipi mbona kimya? Mbona hamtangazi mmepewa hela ya umma mnagonga kimyakimya?"

Bila shaka jamaa Bwana MBOWE zote kaziweka kibindoni yuko anagonga mdogomdogo na maswaiba wake wa karibu wa mkoa huleee! Hamaa kweli siasa ni mradi wa kupiga hela ndefu bila jasho.

Haiseee tuanzishe vyama Bwasheee!

IMG_6223.jpg
 
Tuelekeze kwanza kuhusu sisiem vyenye ulienda na utueleze ruzuku na matumizi alafu tuone
 
Back
Top Bottom