hivi mbowe ndo chaguo sahihi urais 2015?

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
nimekuwa nikiona post nyingi za watu kipindi hichi wakipost chini utakuta namuunga mkono freeman aikael mbowe agombee urais 2015 hivi kweli chadema yeye ndio chaguo sahihi? Tuangalie tusije kizika chama chetu maana siamini kama anasound kwa watu kama slaa.!
 
Mbowe yuko juu! Kaimarisha sana chadema,anafaa 2015
 
Tanzania haihitaji rais kama mbowe... we dont want another jungle circus, chadema have many talents and qualities, tumuache mbowe aendelee na guerrilla style which is effective akiwa kama chaiman
 
nimekuwa nikiona post nyingi za watu kipindi hichi wakipost chini utakuta namuunga mkono freeman aikael mbowe agombee urais 2015 hivi kweli chadema yeye ndio chaguo sahihi? Tuangalie tusije kizika chama chetu maana siamini kama anasound kwa watu kama slaa.!
We umekurupuka!!Wengine tunavisit hii forum daily lkn cjawahi ona hayo maoni ambayo ni yako binafsi.Chadema ni wa2 makini wana viongozi makini na wanafanya maamuzi kupitia tafiti na vikao vya Chama so swala la mgombea wa 2015 ni swala la kusubiri nakuona huwezi ukavuka mto kabla yakufika mtoni.
 
Wale wale na malengo yale yale, hiyo multiple choice mtajaza wenyewe sisi leo tuko Tarime kwa wanaume, Rorya, Bunda, Serengeti, Mwibara na Musoma Vijijini kwa fisadi. Mambo ya kugombania urais yako CCM nasikia wameanzisha kundi lingine la wazee sasa yamefika manne mtakoma.
 
Namuunga mkono Aikael Mbowe kugombea Urais wa 2015, lakini ikiwa kama Dr. Slaa hatakubali kigombea tena. sioni mtu mwingine ndani ya CHADEMA kwa sasa kuja kugombea Urais, zaidi ya Slaa na Mbowe.
List zingine kama za akina Godbless Lema, John Mnyika, Dr. Kitila Mkumbo, Zitto Kabwe, zinapaswa zisubiri kuanzia mwaka 2020, wakati akili zao zitakapokuwa zimekomaa kwa kuongoza nchi, ili tusipate Rais kama Jakaya Kikwete - ambaye hana ukomavu wa akili.

hata hivyo siasa zina dyanimics nyingi sana. tujipe subira tuone hadi 2015. Ni nani ambaye mwaka 2006 angejua kuwa Dr. Slaa angegombea Urais. tusubiri marekebisho ya Katiba, tusubiri watu wapya kutoka CCM. Tusubiri., tusubirini jamani. hata hivyo Mbowe can make it......haki yake tumpeni.
 
Yaani CCM wakisoma post kama hii ya kwako wanasikia raha na kusema '' wa kwetu huyu'' akili zao hazijakomaa ,acha matusi wewe
 
Haya mambo mnayo tuletea ni kubashiri sasa sijajua wenzetu wana shekh Yahaya na CDM wana fanya maamuzi kupitia tafiti sasa sijui mpango huo CDM wameacha? na kuanza lamli hapo sasa sijui King atatuambia vizuri maana hayo anayo yaona JF mimi sija yaona.Halafu lazima tufahamu priority ni ipi kwa wakati huu, sidhani kama jambo lamsingi kwa CDM kwa sasa ni kutafuta raisi wa 2015 na sio kujenga chama na kutafuta uungwaji mkono na wananchi. Kama mpango utakuwa ni uraisi na sio kujenga taasisi basi tumaini langu litakuwa limepotea na hivyo wana JF nitawaomba mnisaidie kwa kuni tafutia psychologist na counselor maana nitakuwa nimechanganyikiwa kwa kukosa matumaini
 
Yawezakuwa bt hutegemea na Matakwa ya mwenyezi, kwa sasa twaweza sema ni kiongozi mzuri, mwenyekiti makini mwenye dira juu ya chama chake, ktk uongoz wake amekifikisha chama mbali, hapa kilipo. Nawasifu CDM KWA MIKAKATI (STRATEGIES).
 
Haya mambo mnayo tuletea ni kubashiri sasa sijajua wenzetu wana shekh Yahaya na CDM wana fanya maamuzi kupitia tafiti sasa sijui mpango huo CDM wameacha? na kuanza lamli hapo sasa sijui King atatuambia vizuri maana hayo anayo yaona JF mimi sija yaona.Halafu lazima tufahamu priority ni ipi kwa wakati huu, sidhani kama jambo lamsingi kwa CDM kwa sasa ni kutafuta raisi wa 2015 na sio kujenga chama na kutafuta uungwaji mkono na wananchi. Kama mpango utakuwa ni uraisi na sio kujenga taasisi basi tumaini langu litakuwa limepotea na hivyo wana JF nitawaomba mnisaidie kwa kuni tafutia psychologist na counselor maana nitakuwa nimechanganyikiwa kwa kukosa matumaini

KERENG'ENDE nakuunga mkono kwenye bold priority ya chama kwa sasa ni kukijenga na si kutafuta nani awe rais.
 
Jamani tusibishane kwa hili. Mie naona bora tumuombee uzima mzee Slaa ambaombaye ni Critical Thinker. Mbowe yupo na ninaamini hata kauli anazozitoa zimefikiriwa kwa kina na watu Kama Slaa. Akikubali kugombea tena Slaa, itakuwa safi sana. Maana waliompa kura Kikwete wanahisi kwa sasa kama walikuwa wamelaaniwa na maskini wa Tanzania wanaohangaika.
 
Mbowe ni kama Sara Palin tu. Mkimpa nomination imekula kwenu. Slaa si alisema yeye atakuwa one term president only? Sasa 2015 na umri wake, kampeni zitamshinda. 2015 we should vote according to our demographics. Janu Makamba, Zitto Kabwe, vijana flani. Hawa wazee regardless wametoka chama gani hawawezi tena kuleta maendeleo in this day and age.
 
Inawezekana hata yeye Mbowe anatamani kufanya hivyo na baadhi ya wafuasi wa CDM wangependa iwe hivyo. Binafsi sishauri agombee 2015. Ni mwanasiasa anayejua kuchanga vizuri karata zake lakini, itakuwa ngumu kwake kukwepa vishawishi vya Mafisadi wapya watakaojitokeza siku za usoni.
Wengi hamtanielewa katika hili lakini mafisadi ni wengi kweli hapa nchini na wengine ni ndugu zetu wa damu. RA anajulikana sana kwa kuwa ameiajiri serikali ya awamu ya nne kuanzia rais. Hata yeye Mbowe kuna pesa za wafadhili anapata bila shaka. Swali ni, je yeye atakwepa vipi kama wafadhili watataka mgao wao wa faida?
Ni vizuri CDM waanze kuwakuza watu kama Tundu Lissu endapo wataona Slaa amezeeka.
 
How, substantiate your sentence.

mawazo ya mto hoja yako ki-ccm zaidi, kama chadema ina operate hivyo then we have problem! wagombea urais wanapitishwa na wanachama wa chama! CCM tu ndio wanatabia ya kuzuia wengine kuchuukua form!
 
Tanzania haihitaji rais kama mbowe... we dont want another jungle circus, chadema have many talents and qualities, tumuache mbowe aendelee na guerrilla style which is effective akiwa kama chaiman
nakuunga mkono.
Mbowe anafaa sana kwa siasa za uenyekiti na sio urais.
Leo Mbowe akianzisha chama kipya kitakua kwani ni mjuzi.Kwa nafasi ya urais bado Dr Slaa ni namba wani.
Kumbukeni Obama na Bush si wenyeviti ila walifaa kwenye ugombea urais
 
Back
Top Bottom