Hivi maonyesho ya Syria serikali ya CCM haina cha kusema kuhusu huyu comrade wao?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Ni miezi kadhaa watu wanakufa Syria,wakati kuna maonyesho mbali mbali ya watu wa Syria ktk miji yetu na hakuna anayeona kuna cha kusema au kufanya.HIvi hii serikali ya CCM hawana vipengele vya kunagalia kila mara ili kujua kuwa comrade kawa kichaa au bado ana akili timamu.Mbona mbwa wakipata akichaa hata kama tunawapenda huwa tunawapiga risasi mapema sana.Wanafamilia nao wakipata vichaa huwa wanahamishw amajumbania na kuhamishiwa palipo wenzao na huduam yao bila kuogoma kuwa watajisikia tumewatenga na kuwaacha wenyewe kipindi wanachotuhitaji.

Libya tulikwena hivyo hivyo sasa the so called comrade hayupo tena, Libya si washirika tena.

CCM watuambie wanatuhitaji sasa hivi zaidi ni nani?Raia au serikali dhalimu?
 
Handsome boy zake kuchekacheka tu hata kama watu wanakufa hiyo haimhusu
 
Raia wakienda hayo maonyesho yasiyo na mwisho waulize maswali ya wazi na kwa sauti ya shibe.
 
serikali ya ccm iko kimya, labda wanaona aibu maana Mh Membe aliwasema vibaya waasi wa Libya na sasa ni serikali kamili.
Ukimya wa serikali ya ccm juu ya mgogoro wa Syria ni aina nyingine ya udhaifu. Aiwezekani maekfu ya watu wanakufa na serikali ccm isitoe tamko. by the way, zamani serikali za vyuo vikuu ziliwezakutoa matamko contrary to these days.
 
umaskini unatuponza, si unajua jamaa lzm watakuwa wanachangia chama cha mafisadi, so wao wanaona shwari tu.
 
Matokeo ya kuwa na viongozi wanaodhani chadema ndiye adui wa kila kitu, ukiwauliza hawaoni udhalimu wa rais wa syria

sindosababu hata yeye kikwete anawafanyia watu wake hivo hivo.

Ulimboka

Aly

Mwangosi

Nk
 
Kwa syria hii ni propaganda nzuri sana ya kuweza tumia hivi vinchi vyetu kama walivvyofanya Iran.Its funny hatuna national Culture hadi tunabebeshwa kila kitu km wabeba Unga.Tutaishia kuambiwa tupo rich in culture huku tukibeba tamaduni kiabo za watu na zetu kupotea kabisa.
 
Hivi president akiulizwa huko alipo kuhusu syria na nini mtazamo wake kwenye hilo atajibu vipi?Wakati huohuo akijua kuwa kuna maonyesho ya Syria na minada yao isiyoisha hapa nchini.
 
Si yapo chini ya serikali inayoleta maswali, chini ya mpango wa utamaduni za syria.
Nicholas
Hakuna maonyesho ya Syria hapa . Nimepata taarifa kwamba hao ni washihiri wa Lebanon wanauza bidhaa kutoka India na Pakstani. Hawalipi kodi . Its just a game of chance. Syria ni mabomu kwenye miji na viwanda vinakribia kufungwa. Tanzania ni shamba la bibi.
 
Nicholas
Hakuna maonyesho ya Syria hapa . Nimepata taarifa kwamba hao ni washihiri wa Lebanon wanauza bidhaa kutoka India na Pakstani. Hawalipi kodi . Its just a game of chance. Syria ni mabomu kwenye miji na viwanda vinakribia kufungwa. Tanzania ni shamba la bibi.

oh ..sasa mbona wanaitumia Syria na si vinginevyo?Ubalozi wa syria umefungwa au hawasikii hilo na wapo busy kusafisha jina Assad kwa nchi zetu hizi ili waweze endelea na biashara ya kuwapa hela za kununulia silaha.
 
Matokeo ya kuwa na viongozi wanaodhani chadema ndiye adui wa kila kitu, ukiwauliza hawaoni udhalimu wa rais wa syria

sindosababu hata yeye kikwete anawafanyia watu wake hivo hivo.

Ulimboka

Aly

Mwangosi

Nk
Syria waliwashtua kuwa kwao pia ilianza hivi hivi...wakiangalia zile hard body...wanajua wanaona jinsi Ghaddafi alivyoondoka huku wassira akisisitiza kuwa nchi haikombolewi kwa pickup.
 
Back
Top Bottom