....Hivi manispaa ya ilala imefilisika.....????...au matumizi makubwa kuliko mapato?

mymy

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
296
110
...kwanza habari za leo wana jf. kuna issue zinaendelea pale halmashauri ya ilala, wamesimamisha ajira za wafanyakazi waliokua na ajira za mikataba na halmashauri hiyo sababu ni kuwa "halmashauri haina fedha za kuwalipa mishahara". hivi mapato yote yanayokusanywa yanaenda wapi....?
 
Unatuuliza sisi. Mwambie diwani wako aliye katika council hiyo atakujibu ati. Mnayataka wenyewe mkiambiwa hmsikii.
 
Lete chanzo.....usikurupuke....

...kwanza habari za leo wana jf. kuna issue zinaendelea pale halmashauri ya ilala, wamesimamisha ajira za wafanyakazi waliokua na ajira za mikataba na halmashauri hiyo sababu ni kuwa "halmashauri haina fedha za kuwalipa mishahara". hivi mapato yote yanayokusanywa yanaenda wapi....?
 
...kwanza habari za leo wana jf. kuna issue zinaendelea pale halmashauri ya ilala, wamesimamisha ajira za wafanyakazi waliokua na ajira za mikataba na halmashauri hiyo sababu ni kuwa "halmashauri haina fedha za kuwalipa mishahara". hivi mapato yote yanayokusanywa yanaenda wapi....?

Pole kijana ila hilo agizo la kusimamisha wafanyakazi wa mkataba mbona limetoka muda mrefu tena cyo ilala pekee ni halmashauri zote.
 
Back
Top Bottom