mchambakwao
Member
- Dec 9, 2011
- 77
- 14
Jamani ukifuatilia mjadala wa bungeni siku chache zilizo pita hasa kuhusu wizara ya mali asili na utali na ile habari ya gazeti la Mtanzania eti wanakamati wa Ardhi,Maliasili na Mazingira walipewa vibahasha na kibaraka fulani kule kwenye hotel ya St.Gasper hizi zilikuwa ni hujuma za kulichafua bunge.
Nimejaribu kuunganisha mwenye gazeti na mwenye hiyo kampuni,nionavyo ni mtu mmoja yaani anayemiliki kampuni na gazeti ni mmoja.
Wadau mnalionaje?
Nimejaribu kuunganisha mwenye gazeti na mwenye hiyo kampuni,nionavyo ni mtu mmoja yaani anayemiliki kampuni na gazeti ni mmoja.
Wadau mnalionaje?