Hivi kweli tz ni masikini?

Sinai

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
288
47
:lol::lol::lol::lol:Nipo hapa Dodoma, napishana na magari ya kifahari kweli kweli, naona wana CCM wamo kwenye magari yenye viyoyozi, ya bei kubwa, class ya juu! Sasa kama nchi ni masikini, kwanini viongozi wetu wa chama na serikali wanatumia magari ya namna hiyo? Watu tunakosa dawa mahospitalini wakati pesa za kununua na kuendeshea magari haya ipo? Kipi ni muhimu kwa viongozi wetu? ni starehe zao au afya za wapiga kura wao? Inauma sana kwa kweli!:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
Back
Top Bottom