RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,622
- 3,941
Ndugu zangu ikumbukwe kuwa taarifa ya CAG iliibua madudu makubwa serikalini hadi kupelekea mbunge wa kisesa luhaga mpina kufikia kuwataja hadharani mawaziri wanaohusika katika wizara zao pamoja na hayo yote mbunge aneambulia matusi na kejeri baadhi ya chawa WA mama hata raisi mwenyewe hakuna alichokifanya kuhusu taarifa hiyo namuona anachoma mawingu Kila baada ya mwezi taarifa hiyo imetupwa kwenye takataka Hana habari nayo.
Mbunge wa kisesa hadi Leo Hana amani na maisha yake kwa kauli alizokuwa akiongea za kuikosoa serikali.
Chakujiuliza lini tutaendekea watanzania kuibiwa fedha za umma na mikataba mibovu na hawa fisi wa ccm maana neno fisi kikwete mwenyewe alituambia kwenye chama kuna mafisi lakini kwa kutazama chama hicho naona wote NI fisi cake ya nchi wanajinufaisha baadhi ya kikundi kidogo ndani ya CCM jambo linalofanya miradi mingi ya maendeleo kutoenda kwa Kasi.
Leo hii serikali niyakuanza kupambana na hospitali binafisi kweli eti kwa kutotia huduma kwa wananchi hivi inafikri huduma zinaweza kutokeaa bure NHIF viongozi wamejikopesha mabilion ya pesa. Halafu serikali itake huduma bure.