UmejitutumuaUnapoambiwa kuwa usifanye hivi na wewe ukakaidi basi utapigwa tu! Kipigo cha oct 25 kipo paleple. CCM ni ile ile. Umoja ni ushindi!
Sikuamini kwa masikio yangu baada ya kumsikia mzee mmoja maarufu mtaani kwangu akisema kua ana taarifa kwamba sasa baadhi ya viongozi wa CCM wanamtafuta Mh LOWASSA ili Kuongea naye wampe baraka za kuiongoza nchi hii, Kwamba alinde vizuri rasirimali za nchi na awalinde vizuri baadhi ya viongozi wa CCM.
Nilimsikiliza kwa makini huyo mzee japo ilikua ni vigumu kwangu mimi kumwamini kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa hasa kwa upande CCM wanavyotumia nguvu nyingi kumnadi mgombea wao kuliko hata miaka ya nyuma.Pia alisema kua kuna baadhi ya watu wamefanya utafiti nchi nzima na wakagundua kua sio rahisi kumshinda Lowassa kwa namna yeyote ile.
Ni hayo tu wanajukwaa niliyoyasikia hivyo basi za kuambiwa tuchanganye na zetu kutafakari.
na wale waliomwimbia kikwete DOdoma kuwa wanaimani na lowassa na sio MagufuriKumbuka hekima na busara si lazima uwe kwa wazee,kuna wazee wengine hamnazo.