Hivi kwanini wanawake wengi huonesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?

Hivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?

Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni
Ni kitu hatari sana kwa mke kuonyesha tabiya ya hiyo au heshima zaidi kwa kiongozi wa dini kuliko mume wake.
Ukifanikiwa kujua maisha ya watu hao utagundua kuna changamoto kwenye mahusiano hayo na kama sio ni suala la muda tu.
Ni vizuri kuelewa kuwa mwenzi wako ndio mtu pekee anayehitaji upendo wako,heshima na kila chema zaidi kuliko yoyote.
 
Wanawake kizamani wanavutiwa na mamlaka.

So nahisi ile wanaongeaga 'BWANA AKASEMAA, TOKAA..... UENDE NCHI YA MBAAAAAALI🗣.SIMAMAA ASEMA BWANA WA MAJESHI💪🗣🗣' Basi wanajiskia kutii zaidi..

Sasa akirudi home na hizo 'bebii, unajuaa......' anakuwa threshold ishaparanganyika huko haelewi kitu.

Nadharia yangu hii mazee.
 
Hivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?

Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni
Simple mathematics.....😊Ndiomaana wanaume wengi wanawamaind viongozi wa dini...🤣
 
Waganga wa Kienyeji/Maustadhi wa visomo na Wachungaji/Manabii wanaaminiwa sana na wanawake.
 
Ukiona hii kitu inakukuta jitafakari umeahindwa kusimamia na kuitawala nafasi yako kama mwanaume
 
Hivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?

Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni
Ukiona hivyo ujue umemwolea Yesu Mume wa Wajane nawe unahesabika kama mfu katika ndoa. Kamata Mchungaji tia Makofi atamfukuxa mkeo kanisani Mtaishi maisha Mema.
 
Back
Top Bottom