Hivi kwanini tunawaita wanasiasa waroho na wasaliti waheshimiwa/Honorable/Excellence tunajidharirisha tuache.

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,432
11,100
Hellow,

Ni vema tuache kujishusha kwa kuwaita wanasiasa wasio na faida hayo majina mazuri yenye kuwatukuza wakati matendo na tabia zao wamejaa ushetani.
watu wanauza mali za nchi, wanafuja mali, wala rushwa, wachoyo, wabinafsi, waongo, mafisadi na hawana huruma halafu wanaitwa waheshimiwa ni vema tumrudie Mungu tujitathmini tuache kuwaita majina yanayo wakweza na kutudharau.

Tujitambue.

Ni hayo tu

Wadiz
 
Back
Top Bottom