Hivi kwani kuna kesi ya ubakaji kwa wanandoa?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,447
3,420
Salaam,

Huwa nastaajabu sana humu kwa baadhi ya wanandoa wakituhasa vijana ya kuwa kuoa sio guarantee yakupewa tendo utakavyo. Wengine wanadai inawafikia hadi mwezi wanabaniwa.

Nachofahamu mim suala la kupewa game kwa mwanaume ni haki yake, mwanamke hata akifosiwa sidhani kama akienda kwao kushtaki atasikilizwa.

Swali: Hivi kwani kuna kesi ya ubakaji kwa wanandoa katika mamlaka hadi yawakute yanayowakuta?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
IMG_0069.jpg
 
Sema wanawake hisia zinayumbaga sana kwenye ndoa kuna kila drama, mimi mke wangu akiwa mzima ni shida tunasumbuanaga sana,

Ila akipata mimba tuu anakuwaga msumbufu yaani anataka tendo mara kwa mara hatakama niko busy, nikiwa kazini napigiwa simu kuna shida na nikirudi nakuta ashanivaa mlangoni na anaanza kuniparamia kufungua mkanda
 
Aisee!

Itabid mkuu ikitoka hii iwekwe hii

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom