Hivi kwa nini wasichana wengi wanajifanya macelebrity far

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Sielewi kama mtu huna talent yoyote lakini anataka too much attention .i wonder why
 
Natalia duh! kweli ur back, nikikumbuka mada zako za long hadi ukafurushwa humu ndani, ila usiseme hivo bana, sema baadhi ya wasichana coz tuko wenye talent, elimu, kazi etc ze2 but hatutaki huo umaarufu kunuka wa kibongobongo wala attention zisizo na msingi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom