NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,311
Kesi nyingi za kufumania na kujiua au kuua zinafanywa na wanaume .
Hivi ni kwanini?
Kwanini usiamini kuwa binadamu ni nyoka kwenye nyasi anauwezo wakufanya kila atakalo. Na kwahiyo uwe tayari kwakila tukio na kituko na ukubaliane na matokeo bila kujidhuru?
Kuua au kujiua faida ni yanani na kwa kifupi si solution sana sana unawaachia machungu na taabu ndugu na jamaa na watoto kama mlikuwa nao.
Saingine unajiua after 2 months mwanamke anaolewa na anasahau kabisa kama alikusababishia kifio.
Ukiona huyu partner hakufai kabisa achana naye chukua mwingine.
Wakuu tutafakali kabla ya kuchukua hatua?