Hivi kuna uzoefu gani wa kimaendeleo wa kubadilishana kati ya Somalia na Tanzania?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
nimecheki tbc kwamba raisi wa somalia amekuja pamoja na mambo mengine kubadilishana uzoefu wa kimaendeleo kati ya tanzania na somalia, sasa mimi najiuliza ni ozoefu upi huo wa tanzania kujifunza somalia na somalia kujifunza tanzania?
 
Huyu Rais wa Somalia si alikuja nchini juzi juzi tu? Uzoefu gani wanabasilishana au amefanya hapa Tuition centre?
 
Kuna uzoefu wa kuuza matofali kama kule mbezi beach, uzoefu wa kuiibia serikali kama unaofanywa na paradise hotel, uzoefu wa uharamia wa baharini bila kusahau al-shabab walivyochangia ktk uchaguzi wa 2010.
 
atakuwa amekuja kuangalia yale mabomu tuliyosema yameharibika g,mboto na mbagala ayachukue nadhani kwao yatakuwa na kazi kubwa tu.
 
Kaja Kuomba Mahindi Alisikia Tz Wametia Ngumu....

Pia kaja Kujifunza nae Awe Vasco da gama iv

(Somalia ni nchi pekee inayotembelewa na wasomali wenyewe)
 
Hivi ziara ya kipuuzi kama hiyo ndio nimeona pikipiki, magari ya ikulu na wanajeshi kibao waliolipwa maposho (per diem) ili kuanda sherehe ya kumpokea jamaa?
Oh! My God, ona kodi za waja wako maskini zinavyofujwa na huyu papa uliyetupa.
 
mi naanza kupata wasiwasi yaani ziara mara mbili ndani ya kipindi cha miezi 6! this is too much. tena naona huyu jamaa anataka kutu jengea uaadui na wale maharamia wa pale Somalia maana najua kuwa wale majamaa hawaipendi serikali ya Somalia hivyo haya mahusiano ya jk na huyu jamaa nadhani yanaweza kuambukiza chuki ya wale ma pirates...........
 
Kaja kupga futari then arudi kwao huyo,c mnajua kwao no msoc jaman!
 
Hamna lolote huo wote upupu tu wa JK wao watapata kweli uzoefu toka kwetu ila we have nothing to gain from them labda uharamia,its just wastage of public funds of both somali n tanzanian citizens
 
Anakuja kutufundisha namna ya kuendesha nchi bila serikali, anakuja kujifunza ni kwa nini hatuchukui siraha tukawatwanga watawala wakati wanakula nchi pekeyao na raia wakiwa hawana umeme, maji wala mafuta.
 
Back
Top Bottom