Hivi kuna Tofauti gani kati ya afisa magereza na mfungwa wa magereza?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,806
Hili ni swali ambalo najiuliza sana kwa hawa askari magereza tofauti yao na waasi wauwaji, wabakaji na wahujumu uchumi. Walioko jera ni ipi!!

Ila askari magereza wanalinda watu mpaka wanapostaafu na wengine wa makosa ya miaka 10nk huwaacha maasikari magereza wakiendelea na kifungo huru.

Shamba yupo askari na mfungwa wote wanapigwa jua na mvua
Kwenye kuvunja mawe wote wapo
Wanakesha wote
Mbu wote
Yani piiii

Umasikini ni mbaya sana.
Upinge kwa namna yoyote
Utakuja kunishukuru
 
Tofauti ipo kuubwa sana, huyu ni mfungwa, hana uhuru wa jambo lolote , askali mageleza kwanza analala na famikia yake nyumbani, anaenda kazini kwa zamu, anapandisha cheo , anawasimamia wafungwa huku yeye akiwa kiongozi kwa maana hiyo anaweza fanya jambo lolote, yupo kazini analipwa mshahara na baada ya kustaafu kazi anapata mafao yake.chukua wafungwa watatu , mmoja afungwe miaka 20 jela,akitoka afungwe mwingine miaka 20 ,akitoka afungwe mwingine miaka 20 baada ya hapo yule askali awe amestafu ambao aliwasimamia wafungwa hawa3 kwa nyakarti tofauti, sasa kila mfungwa,alaete alichochuma aliopokuwa jela na yule askali alete alichochuma alipokuwa askali
 
Hili ni swali ambalo najiuliza sana kwa hawa askari magereza tofauti yao na waasi wauwaji, wabakaji na wahujumu uchumi. Walioko jera ni ipi!!

Ila askari magereza wanalinda watu mpaka wanapostaafu na wengine wa makosa ya miaka 10nk huwaacha maasikari magereza wakiendelea na kifungo huru.

Shamba yupo askari na mfungwa wote wanapigwa jua na mvua
Kwenye kuvunja mawe wote wapo
Wanakesha wote
Mbu wote
Yani piiii

Umasikini ni mbaya sana.
Upinge kwa namna yoyote
Utakuja kunishukuru
Wote ni sawa tu....mmoja ni mfungwa wa sasa na mwingine ni mfungwa mtarajiwa
 
Hili ni swali ambalo najiuliza sana kwa hawa askari magereza tofauti yao na waasi wauwaji, wabakaji na wahujumu uchumi. Walioko jera ni ipi!!

Ila askari magereza wanalinda watu mpaka wanapostaafu na wengine wa makosa ya miaka 10nk huwaacha maasikari magereza wakiendelea na kifungo huru.

Shamba yupo askari na mfungwa wote wanapigwa jua na mvua
Kwenye kuvunja mawe wote wapo
Wanakesha wote
Mbu wote
Yani piiii

Umasikini ni mbaya sana.
Upinge kwa namna yoyote
Utakuja kunishukuru
Punguza wenge.

Mfungwa ana tofauti kubwa na askari magereza.
 
Jamani hizi kauli zinaweka negative energy kwa hiyo Kada. Hebu tuwashukuru kwa kazi waifanyayo. Sisi wananchi hatuwataki wahalifu mtaani kwao ni jela huko.Sasa asipokuwepo wa kumlinda huko si watarudi tena uraiani kutusumbua.Afisa magereza ana hustle hivyo ili wewe uishi kwa amani mtaani.
Kweli Kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom