We endelea kuishi kwenu uswekeni na unajitapa umezaliwa Dar wakati wenzako wametoka mkoani wanaishi zao huko goba kwenye mijengoWewe mtoa mada ni Fala Tu na mshamba...tatizo lenu wengi mmekuja hapa DAR ndiyo maana kilasiku ni kusifia mitaa ya DAR Tu, hiyo Goba zamani ilikuwa ni chaka la watengeza pombe ya gongo miaka ya 80 na 90's kipindi hicho wewe bado upo kwenu unalima kwenye majaruba
kila wiki kuna shughuli na sare mpya...Utumbo wa Kuku
Vichwa vya kuku
Miguu ya kuku
Kuchamba
Umbea
Kulala vibarazani
Kushinda vibarazani
Kuomba mboga kwa jirani
Kuomba moto kwa jirani
Matusi hadharani
Unaumwa itakuwa!!We endelea kuishi kwenu uswekeni na unajitapa umezaliwa Dar wakati wenzako wametoka mkoani wanaishi zao huko goba kwenye mijengo
Aisee tuombe radhi wa Changombe duka mbiliWatakuja kukupopoa hapa lakini ukweli ndio huo Temeke nzima hakuna ustaarabu na ndio sehemu inayoongoza kwa kero za foleni,magari kujaza sio Mbagala,sio Gongo la Mboto sio Temeke Stereo daladala zinajaza na wanagombania kupanda hadi wadada wanapitia madirishani...
Masoko na mitaa michafu watu hawana ustaarabu kiufupi mimi nimezaliwa na kukulia uswahili wilaya ya Kinondoni lakini uswahili uliopo Temeke ni wa kukatisha tamaa aisee..Nilipata kiwanja Chamazi kiponza kwa bei chee kabisa nimeishia kujenga fremu kama ulivyosema lakini sijawahi kuplan kabisa kuishi Mbagala
Mkumbushe pia kuna Manzese, Tandale na Mwananyamala halalu huku kulia kuna Tabata.Kushoto huko ndio kuna Kawe
Nina uhakika wewe sio mzaliwa wa Dar ushamba bado unakusumbuaHivi kuna maeneo ya hovyo kama Mbagala?
Kujenga mbagala ni kuukaribisha uswahili hapastahili kuitwa Dar
Hili eneo halistahili kabisa kuitwa Dar pangehamishiwa mkoa wa Pwani tu hapastahili kabisa kuwa Dar
Wakazi wake hawana ustaarabu kabisa ni sehemu ya ovyo kabisa
Kwa makazi ya familia na makuzi ya watoto hapafai labda ujenge nyumba upangishie tu au frem za biashara maana kuna idadi kubwa ya watu
Ni sehemu ambayo usafiri ni wa shida, fujo fujo tu, ustaarabu zero
Kiufupi mbagala na baadhi ya maeneo ya Temeke sio rafiki kwa kuishi watu kabisa
Mbagala mtu anayejielewa hawezi kutamba kujenga huko
Waliojenga huko Mmbande, Chamazi na mbagala kote huko na hii njia ya kusini wengi wanasimulia majanga na kero wanazokutana nazo kila siku
Mimi nilivyokomaa kununua Goba kipindi hicho baadhi ya rafiki zangu na jamaa zangu walinicheka,na wengine wakanambia siwezi wakawa wanafurahia walivyonunua viwanja wa bei nafuu huko Chamazi, Vkindu,mbagala mmbande na Temeke matokeo yake sasa yanaonekana ni nani anayeishi sehemu nzuri na anayeishi sehemu ya hovyo
MBAGALA NI KUZIMUHivi kuna maeneo ya hovyo kama Mbagala?

Kwahiyo ustaarabu upo Kigogo au upo Tandale?ustaarabu upo Mburahati au M/nyamala kwa manjunju?unakuja M/nyamala Kisiwani wewe?Nenda Kinondoni Moscow ukapate show au kule Kino-shamba?Huijui Dar wee wa Kuja....halafu G/Mboto ipo Ilala wee,Nenda Manzese madizini uko ukaone kazi,unajua Mabibo?Tabata unaiona barabarani tu ingia ndani.....halafu suala la kujaza abiria ni wapi ambapo utapanda basi asubuhi au jioni kwa kujiachia?Nenda Makumbusho au Simu 2000 au Mbezi Luis(mwisho) uone kazi ilivyo kwa ruti unazoziona ww za wastaarabu.......Hizo mwendokasi tu zinazopita huko unapoona wastaarabu hazishikiki kizembe....labda utokee Mbezi ukae foleni....tueleze ustaarabu upi sasa kabla hatujaendelea kukupopoa wa Kuja mshamba wwWatakuja kukupopoa hapa lakini ukweli ndio huo Temeke nzima hakuna ustaarabu na ndio sehemu inayoongoza kwa kero za foleni,magari kujaza sio Mbagala,sio Gongo la Mboto sio Temeke Stereo daladala zinajaza na wanagombania kupanda hadi wadada wanapitia madirishani...
Masoko na mitaa michafu watu hawana ustaarabu kiufupi mimi nimezaliwa na kukulia uswahili wilaya ya Kinondoni lakini uswahili uliopo Temeke ni wa kukatisha tamaa aisee..Nilipata kiwanja Chamazi kiponza kwa bei chee kabisa nimeishia kujenga fremu kama ulivyosema lakini sijawahi kuplan kabisa kuishi Mbagala
Mimi siijui Dar!? Unanifundisha Dar mimi!? Yaani umavimavi wenu wa Mbagala ndio uufanishe na sehemu hizo!? Ona huyu, sijakataa tangu mwanzo nimesema maeneo hayo uliyoyataja ni uswahilini na hakuna ustaarabu sema Mbagala imezidi sehemu ambayo wanauza hadi supu ya ngozi ya ng'ombe ndio uifananishe na Kinondoni yenye angalau hata migahawa ya KFC!? We hujiulizi kwanini Mbagala hakuna hata KFC pamoja na kuwa na nyomi la watu!? Ukwelini kwamba hamna ustaarabu huko mmeshazoea kula supu ya ngozi ya punda hapo rangitatu..kwanza usichokijua watu wa Mbagala wana utamaduni wao ambao haupo sehemu nyingine zozote za Uswahilini!..Halafu umezaliwa Mbagala unawaona watu waliozaliwa na kukulia Kinondoni Kilometa moja na Oysterbay ni wa kuja!? You've to be serious dude..Kwahiyo ustaarabu upo Kigogo au upo Tandale?ustaarabu upo Mburahati au M/nyamala kwa manjunju?unakuja M/nyamala Kisiwani wewe?Nenda Kinondoni Moscow ukapate show au kule Kino-shamba?Huijui Dar wee wa Kuja....halafu G/Mboto ipo Ilala wee,Nenda Manzese madizini uko ukaone kazi,unajua Mabibo?Tabata unaiona barabarani tu ingia ndani.....halafu suala la kujaza abiria ni wapi ambapo utapanda basi asubuhi au jioni kwa kujiachia?Nenda Makumbusho au Simu 2000 au Mbezi Luis(mwisho) uone kazi ilivyo kwa ruti unazoziona ww za wastaarabu.......Hizo mwendokasi tu zinazopita huko unapoona wastaarabu hazishikiki kizembe....labda utokee Mbezi ukae foleni....tueleze ustaarabu upi sasa kabla hatujaendelea kukupopoa wa Kuja mshamba ww