Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

Mwenye kujua Kadeti Bora Zaidi ya Vicobss? Naomba anijuze, usinitajie kadeti zilizopo huko ulaya, najua kuna kali zaidi ya hizi, ila naangalia zile ambazo ni angalau kwa mazingira yetuu..

Sizungumzii hawa wanaojaribu ku mimic jina ili kulaghai wengi, japo wengi wanajaa kweli..

Sizungumzii VICBOSS
View attachment 2931783
Sizungumzii VICCCBSSView attachment 2931934
Pia Sizungumzii VICOBOS.

Nazungumzia VICOBSS,
View attachment 2931939
Kuna Brand Nyingine kali kama
Gentreman VibesView attachment 2932015
VIPView attachment 2932012
Massimo dute etc ila naona bado anakalishwa na vicobss,
Hizi nyingi bei yake inachezea kwenye 40k kwa wastani, hizi at least unafua bila kupungua ubora wake kwa haraka hasa ukizingatia Maji mazuri, na kupunguza mashart sijui ya jua na pasi.

Binafsi kwa VICOBSS nimewakubali, ni mda mrefu sasa nazitumia hazijaniangusha...

Jee KWA UZOEFU WA KUIVAA kuna mwenye kujua brand bora zaidi, tujuzane.
Kadeti inauzwa 40k hiyo bado ni feki
 
Sana .nina boxer ya Louis Vuitton nilinunua mwaka 2007 mpaka leo naivaa na haijatoka hata kipande cha uzi nikiivaa utasema nimenunua jana. Aise kuvaa vitu original raha sana tatizo bei zake wengi hatuziwezi.
Hahahahaha nyie watu huwa mnanifurahisha sana... Kuna jamaa angu nilisoma nae Udsm 2009 kuna kipindi nimeonana nae 2016 tukawa tunapga story za hapa na pale sasa akanionyesha sox amevaa akasema " hizi sox nilinunua kipindi kile tunasoma udsm, ona hizi sox hazichakai sijui kwa nini" kwa kweli nilichoka kabisa maana sox zile ni km mpya tu....
 
Hivi bado woolworths wana operate hapa dar kuna kipindi kulikua na duka lao kule posta hawa wa South nao wanauza vitu quality ya ulaya mali safi. Hata arusha walikua na duka lao pale karibu na TFA
Ulaya pia maduka yameajaa michina. Maduka yanaouza product za Ulaya og huwezi gusa. Kipato cha Kati wengi wanapenda kununua kwenye michina
 
na zaidi wabongo hawaambiliki. watakubishia kuwa umepigwa haha.
wabongo pumbavu sana wa akili.
kuna bwege alinishangaa nimenunua designer brand miwani riyal 800 kuwa bongo kama hiyo ningepata kwa elfu 15. nikaiangalia hiyo taahira nikaiacha
Hivyo vitu vya bei kubwa mwe mnatambiana huko huko kwa wenzenu.

Shart lako la laki mbili linafanana na la kwangu la elfu 20, then tunatembea wote kwenye barabara ya vumbi na majasho.

Sasa hapo wakikucheka utasema ni wajinga au mjinga ni wewe?

Vile vile hoyo Shati ya Laki mbili huwezi ivaa mwaka mzima. Yule wa elfu 20 akinunua tatu za elfu 60 kila alipo anang'aa
 
Hahahahaha nyie watu huwa mnanifurahisha sana... Kuna jamaa angu nilisoma nae Udsm 2009 kuna kipindi nimeonana nae 2016 tukawa tunapga story za hapa na pale sasa akanionyesha sox amevaa akasema " hizi sox nilinunua kipindi kile tunasoma udsm, ona hizi sox hazichakai sijui kwa nini" kwa kweli nilichoka kabisa maana sox zile ni km mpya tu....
Nyie ndio mnaimwa fangasi....soksi miaka 7?
 
Back
Top Bottom