Hivi kumbe wanawake mnapoenda kusuguliwa miguu kwa wale 'maboy' mnafuata faraja eeh!!

Na hao asilimia kubwa ni wanawake wa dar mikoani wako bize na maisha huo muda wa kusuguliwa miguu anautoa wapi
 
Na hao asilimia kubwa ni wanawake wa dar mikoani wako bize na maisha huo muda wa kusuguliwa miguu anautoa wapi
 
Mimi nilishasema huu uhuni siwezi entertain kabisa...!
ndio maana nampenda sana huyu msabato kwakweli hana heleni, hapaki rangi wala wanja ila anapendeza sanaaa.
Kwenye jumuia hizi tunawala sana hao halafu sio watamu wala nini sijui kwa sababu ya upako mkuu
 
Nimeona nitupie kapicha muone wanavyoenjoy
 

Attachments

  • 1462213779620.jpg
    1462213779620.jpg
    54.6 KB · Views: 44
Mim saloon nikienda kunyoa bila kuwa na wadada kufanya scrub bado naona sijanyoa..hii kitu imesababisha nisiwe na nywele kichwani zikiota tuu fasta nipo saloon!
 
Back
Top Bottom