Hivi kumbe wanawake mnapoenda kusuguliwa miguu kwa wale 'maboy' mnafuata faraja eeh!!

Hii kaz inakuwa kwa kas sana acha tuu wasuguliwe atarud nyumban utamu atamalizia om,,
 
hiyo kazi huwa naifanya mwenyewe ole wake nirudi nikute imeshafanywa nina vifaa vyote na rangi aina zotee
 
Saaana,tena wana zile lotion zao zingine kama zina vimchanga changa flan hivi amazing;asee ni balaa acha tuende tuu
Kuna na brush hilo lina vinundu, wanapitisha kwenye unyayo kuondoa stress
 
Moja ya mambo yanayompa starehe saaana mwanamke ni kubembelezwa kwa namna ya kutomaswa kiufundi wa aina yake kbs, huwa nikimmassage yyyyyyyy anapagawa hadi utadhani anataka kupaaa kwa raha anayojipatia
mindio maana nabebmebeleza sana nasugua nashika napapasa nayani najua huwa wanataka nini...siwezi kubali waoshaji wanizidi kete....mi mwenyewe fundi wa kuosha
 
Huyo itakuwa ndicho kinachompa raha, sio wanawake wote wanapaishwa na hayo. Pia labda hapati huduma nzuri toka kwa mwenza wake so hiyo inampa raha then anaenda kupata mti anatulia.
 
Kwa hiyo hata sisi tunapoenda kufanyiwa scrubing salon tunatafuta faraje eeh? I think hiyo ni package ya huduma tu. The core product ni kule kusuguliwa miguu au ngozi ya uso... Kama huitaji additional (agumented) benefits unaweza kukataa pia.
Bora wewe umeliona hili. Tuacheni tusuguliwe tupendavyo. Kama wake zao wamekosa staha wakaenda kujilegeza huko watajua wenyewe. Salon za kiume ndio balaa..wadada wanawamassage...wanawasafisha mpk masikio kwa vidole mpaka mnasinzia kwa raha..mnaona sawa tu. Kapateni faraja na nyie huko kwenye kunyoa... waacheni ma mr kucha wetu.
 
Du! Ngoma nagwa
 
Hahaaaa mnamambo nyie
 
Ukweli ni kwamba wale wanawake wenye miguu mizuri ndio wana kwenda kule.Kuna wengine miguu imekomaa kiasi ikichemshwa kwa mwezi mzima haitakaa ikaiva! huyu uwezi kumkuta kaenda kukandwa miguu.
 
Ahahaaaa kweli bana wale akina dada wanofanya scrub kwenye masaloon ukiongea nae kikubwa tu ahhhhhh scrub inageuka mnhhhh ahhhhhh ahhhssssss
 
Back
Top Bottom