Hivi Kinana ni lini alikana uraia wa Somalia?

wametafuta udhaifu wa Kinana wanakosa,sasa wanaokoteza madai ya kitoto,wakati anapigaga vita ya Amini hamna aliyetoa madai ya kutengenezwa,mumesubiri hadi kapata Ukatibu!!!!Mti wa matunda ndio unaopigwa mawe.
 
kinanaa jangiri la kisomali lisilokuwa na huruma na tembo wetu; laana yake hata nywele zimeisha sababu ya kufikiria kutegua mitego ya wahifadhi mbuga.
 
ingawa habari hii ina ukweli ndani yake utatakiwa uthibitishe chanzo cha habari hii .hii habari sio ngeni masikioni mwangu mashine hizo zinatumika kwenye dry cleaner moja ipo maeneo ya metropole arusha inaitwa vip dry cleaner

wewe ni muongo mkubwa, hakuna vip karibu na metropole, vip iko upande wa juu ya golden ross hotel. Lete habari za ukweli sio uongo wa kipumbavu. Vip ni vijana wale wanaouza magari ya kutoka japan
 
nakukumbuka wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995 kinana aliacha kuchukua fom ya kugombea ubunge baada ya nccr mageuzi kusema kuwa sio raia kwani ana uraia wa tanzania na somalia.

Kinana alingia na babaake tanzania akiwa na miaka 8 na alikataa kuukana uraia wa somalia.amekuwa akifanya biashara ya madawa ya kulevya mandrax na mdogo wake ahmed nuru kinana ambaye alimpa machine za kufulia zizokuwa msaada kutoka kwa waisani kwa ajili ya hospatal ya mount meru.

Sasa hivi ahmed ndio kinara wa kuingiza wasomali na waethopia wanaokwenda kusini.

napendekeza akamatwe yeye na mdogo wake high handedly bila kumung'unya maneno. Si ajabu hata wale wasomali wa Loliondo walioua OCD WA NGORONGORO mfadhili wao ni huyuhuyu kinana
 
wametafuta udhaifu wa Kinana wanakosa,sasa wanaokoteza madai ya kitoto,wakati anapigaga vita ya Amini hamna aliyetoa madai ya kutengenezwa,mumesubiri hadi kapata Ukatibu!!!!Mti wa matunda ndio unaopigwa mawe.

Subiri Eastgate ndo utajua unatetea nini
 
Kinana hafai hata kidogo...ni jangili lisilo na huruma na Tanzania maana sio nchi yake.
 
mkuu ni kweli lakini undani wake usijekuta ini maneno ya kuambiwa tu hayo na yana madhara yake
Nakukumbuka wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995 kinana aliacha kuchukua fom ya kugombea ubunge baada ya NCCR Mageuzi kusema kuwa sio raia kwani ana uraia wa Tanzania na Somalia.

Kinana alingia na babaake Tanzania akiwa na miaka 8 na alikataa kuukana uraia wa Somalia.Amekuwa akifanya biashara ya madawa ya kulevya mandrax na mdogo wake Ahmed Nuru Kinana ambaye alimpa machine za kufulia zizokuwa msaada kutoka kwa waisani kwa ajili ya hospatal ya Mount Meru.

Sasa hivi Ahmed ndio kinara wa kuingiza wasomali na waethopia wanaokwenda kusini.
 
umakini wa kinana kiutendaji ni kiama kwa vyama vya upinzani - kibanda
 
mna uhakika kuwa hakuzaliwa tz?? na kama ni msmali je ni msmali wa wapi mbona hana nywele za kisomali kama za rage na bashe isije ikawa ni msomali mbantu kama wale tuliowarudisha tanga???!!! mana wale ni wazigua tu.

Mkuu kuzaliwa hakutoshi kukupa uraia bali ukiwa mtu mzima 18...unatakiwa uukane uraia wa wazazi wako uombe wa Tz.Kama unakumbuka Premji kule kigoma alipigwa chini kwa sababu ya kutoukana uraia wake apo ndipo mwanasheria gwiji Bob Makani (RIP) akauliza tangu lini ng`ombe akazaa kondoo hapo mzee mzima chali na ubunge pia.Ila ukiwa CCM you are allowed to practice all crimes as you are above the law.
 
This is personal attack, nothing less! Hivi kwanini JF inaruhusu wabaguzi kuweka mambo yao humu? nani kahakiki uraia wa Kinana? au awe anatembea na vielelezo ili asiandikwe JF? Uraia wa mtu na rangi au kabila yake ni vitu tofauti. makamu wa Rais wa Zambia ni Mzungu, etc. Sijui watu wengine wamerogwa? Kuwashambulia watu tu! Mbona Kinana ni mzalendo kuliko hata watu wengi hapa nchini.
Mama mwarabu baba msomali alafu awe mzalendo tangu lini msomali akaoa asie msomali au mwaarabu alafu tunawaita wenzetu tumeliwa.
 
This is personal attack, nothing less! Hivi kwanini JF inaruhusu wabaguzi kuweka mambo yao humu? nani kahakiki uraia wa Kinana? au awe anatembea na vielelezo ili asiandikwe JF? Uraia wa mtu na rangi au kabila yake ni vitu tofauti. makamu wa Rais wa Zambia ni Mzungu, etc. Sijui watu wengine wamerogwa? Kuwashambulia watu tu! Mbona Kinana ni mzalendo kuliko hata watu wengi hapa nchini.

hata wewe ukiwa jambazi na unasaidia nduguzo watakuita mzalendo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom