Hivi ke mmekuaje siku hizi mpaka tuna struggle sana kuwapata?! Mmelishwa nini.?.

Mtu na nusu

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
636
1,116
Wanawake! Wanawake! Wanawake!

Mmekuaje siku hizi mpaka tunatumia nguvu kubwa Sana kuwapata bila mafanikio?! Mnajivunia Nini siku hizi?

Unamtongoza mdada anakuzungusha wee
Mara aseme una tabia mbaya eti kisa umemtongoza! Acheni hivo bn.

Akiona amekuzungusha sana anaamua kukubali kinafki ila kupata mzigo inakua kibarua kingine, atakuzungusha mpaka utahisi huenda labda Hana unachokiomba.

Mwingine akikupa contact sahau kujibiwa/ kupokelewa sim zako ( hapa wazee wa kufuta namba wameongezeka sana )

Wanawake punguzeni makali mnatuumiza wenzenu.
 
Mimi pia mzee wa kufuta namb acee unachokisem ni sahihi kabisa na wanajikuta san hivi vijikike mpaka sio poa yaan si waseme kam hawataki mapnz
 
Back
Top Bottom