Wana JF nauliza nina sababu kubwa, na maswali yanayo hitaji majibu.
-----------------------------------------------------------------------
UPDATES:
Hadi sasa au siku ya leo ukienda ofisini kwao TAKUKURU uchukue kipeperushi utakuta hakiainishi kazi zingine, kinaeleza KUPAMBANA NA RUSHWA tu, je wamejisahau ku update hivyo vipeperushi kwakuwa wamepewa kazi hizo zingine au vipi
- TAKUKURU wanaingilia majukumu ya ofisi zingine mtaani Je, huwa wameombwa na vitengo hivyo kusaidiwa kukagua maeneo yao na kuwahoji watu maswala yasiyohusiana na RUSHWA?
- TAKUKURU wameacha ajenda ya RUSHWA kufuatilia wanao toa na kupokea rushwa je wameona hailipi au kazi hizo ni chache au wamejikuta hawanaga kazi wakaamua wenyewe wafanye kazi zingine au walipewa na vitengo vingine ruksa ya kuawsaidia,
- Kila nikisoma vipeperushi vya TAKUKURU sijaona wao wakielezea kuwa wana hayo majukumu mengine ya vitengo vya mashirika ya umma na Wizara kwanini hawaelezi wakati tayari wanazifanya,
- TAKUKURU ni usalama wa TAIFA (TISS) au wamekubaliana wasaidiane majukumu hayo? Kuna sehem walikuwa wanafuatilia jambo na kuchunguza wakamuita mtu kumuhoji kazi ambayo ni ya usalama wa taifa (TISS) je ni sahihi au walikuwa wanajitafutia ulaji,
- Juzi niliwaona mitaa ya NYAMWEZI Street wanamwambia jamaa kuwa walipata taarifa kuwa HANA LESSENI YA BIASHARA anayoifanya wakaondoka naye kwenda ofisini akahojiwe halafu akapewa SAMAS ili arudi tarehe flan kwenye SAMAS imegongwa muhuri mwekundu umeandikwa SIRI juu na chini.