Hivi JK 'atapewa shavu' akistaafu kama ilivyo kwa Mkapa?

JK atapata heshima tena kubwa sana....wakati ambao dunia imekuwa na hali mbaya ya uchumi kama economic depression yeye ameweza kuongoza tanzania....angalia pm wa greek amekimbia madaraka kwa uchumi kumshinda...iceland nchi haiendesheki....msumbiji chupa hata ya soda inauzwa dola mbili yani sawa na sh 3000.

Inawezekana huyajui mambo ambayo yatampa jk heshima kubwa sana mpaka sasa.

1.Maendeleo ya kilimo ambayo mpaka sasa yamefikiwa.

2.Shule za sekondari ambazo anaendelea kuziimarisha

3.Chuo kikuu cha dodoma kuwa kikubwa kwa East Africa

4.Rais wa kwanza kuwapandisha kizimbani mafisadi na kuwafunga jela.

5.Miradi ya maji inayoendelea nchini

6.Uongozi mbovu wa slaa pindi atakaposhindwa kuuza cement elfu tano na mengi anayowaambia wananchi ambayo kimsingi hatatekelezeki yatampa
JK heshima.

Tungoje tuone.

Ndugu John Nchimbi! kweli uko kikazi zaidi! sawa bwana JK ataheshimiwa kimataifa kwasababu alikuwa anapaa sana kwenda majuu enzi za utawala wake kwahiyo jina lake litakuwa midomoni mwa viongozi wengi huko majuu hivyo watamkumbuka katika mambo mbalimbali! lol
 
Kila raisi mstaafu anaepewa shavu anapewa katika eneo ambalo ali excel wakati wa uraisi wake. Ukiangalia Nyerere yeye alikua anapewa sana mambo ya amani na usuluhisho kwa sababu ya jitihada zake zilizo zaa matunda za kupigania uhuru wa nchi zingine za Afrika. Mwinyi yeye hakuwa excpetional kwenye chochote kwa hiyo unaona baada ya kustaafu hakupewa chochote cha maana. Mkapa yeye unaona anapewa shavu kwenye mambo ya uchumi. Mpaka sasa sijaona JK yeye kaexcel kwenye nini haswa.
 
JK atapata heshima tena kubwa sana....wakati ambao dunia imekuwa na hali mbaya ya uchumi kama economic depression yeye ameweza kuongoza tanzania....angalia pm wa greek amekimbia madaraka kwa uchumi kumshinda...iceland nchi haiendesheki....msumbiji chupa hata ya soda inauzwa dola mbili yani sawa na sh 3000.

Inawezekana huyajui mambo ambayo yatampa jk heshima kubwa sana mpaka sasa.

1.Maendeleo ya kilimo ambayo mpaka sasa yamefikiwa.

2.Shule za sekondari ambazo anaendelea kuziimarisha

3.Chuo kikuu cha dodoma kuwa kikubwa kwa East Africa

4.Rais wa kwanza kuwapandisha kizimbani mafisadi na kuwafunga jela.

5.Miradi ya maji inayoendelea nchini

6.Uongozi mbovu wa slaa pindi atakaposhindwa kuuza cement elfu tano na mengi anayowaambia wananchi ambayo kimsingi hatatekelezeki yatampa
JK heshima.

Tungoje tuone.

HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA. Mkuu asante kwa kuniongezea maisha.
 
JK atapata heshima tena kubwa sana....wakati ambao dunia imekuwa na hali mbaya ya uchumi kama economic depression yeye ameweza kuongoza tanzania....angalia pm wa greek amekimbia madaraka kwa uchumi kumshinda...iceland nchi haiendesheki....msumbiji chupa hata ya soda inauzwa dola mbili yani sawa na sh 3000.

Inawezekana huyajui mambo ambayo yatampa jk heshima kubwa sana mpaka sasa.

1.Maendeleo ya kilimo ambayo mpaka sasa yamefikiwa.

2.Shule za sekondari ambazo anaendelea kuziimarisha

3.Chuo kikuu cha dodoma kuwa kikubwa kwa East Africa

4.Rais wa kwanza kuwapandisha kizimbani mafisadi na kuwafunga jela.

5.Miradi ya maji inayoendelea nchini

6.Uongozi mbovu wa slaa pindi atakaposhindwa kuuza cement elfu tano na mengi anayowaambia wananchi ambayo kimsingi hatatekelezeki yatampa
JK heshima.

Tungoje tuone.
Asante nchimbi, sina cha kuongeza yaani umemaliza kila kitu. Wengi wao ni udini tu unaowasumbua.
 
Back
Top Bottom