Hivi jamani kwanini wanawake hamna mapenzi ya kweli?

msamehe mrudie ila ish nae kwa makin, umfuatilie ujue ukweli kamili kuhusu yote, then kama 100% utagundua ana hatia achana nae
 
...Bwasheee..mara nying ukiwa F.B.I kwenye mapenzi...huta enjoy kamwe...na ukishaanza kumchunguza mwenzio basi hutaacha...yani itakua addiction...!! na hata ukidate anoda gal utafanya the same..hii ni tabia mbaya mno!! Dont play kama detectivr agent kwa love..maaana utakutana na mavitu ya ajabu...mwishoe ukafa bure kwa presha..!! Dont do that again bro...ukiwa unataka aman ya roho! What if kama alikua ana flirt tu na watu...but seriously 100% yupo kwako...?? presha za nini...toa insecurities...mwamini mpenz wako
 
facebook ni kupata marafiki wa aina zote, wakimapenzi, wakimasomo,wakikazi, wakimaombi, wakibiashara,na mengineyo sasa wewe mkuu unategeme mke wako ajiunge na facebook awe salama wakati facebook kunawawindaji hatari ,cha msingi wewe usicomplicate, kama hujamfumania au kumuoana na mwanaume tofauti na wewe ,basi muache ale starehe ya facebook
Hebu imagine unakutana na meseji za miadi kati ya mpenzi wako na boya mmoja wa facebook ili kwenda kuliwa chungwa weekend hii ambayo we utakuwa haupo around. Utapotezea kusema uache tu ale starehe zake facebook?
Is it applicable ama we hujui kitu kinachoitwa dalili mbaya, mpaka ukute za nashukuru kwa kunipa penzi tamu hakika ntakuja tena na tena maana huyu(wewe) fala hajui chochote kwa kweli.
 
unahisi kwanini wanawake hawana mapenzi ya kweli?

Kwa sababu ni washenzi wa tabia na wameamua kuishi hivyo. Cha kustaajabu mtu kama Mengi mwenye mapesa mengi anaweza mpa mwanamke maisha yote anayoyaota ila still huyo mwanamke atasaliti tu. Ndivyo walivyo hawanaga kuridhika.

Wanawake hawachaguagi jamani, uwe tajiri uwe masikini atakusaliti tu as long as umejipa uhakika na kumpenda kwa dhati. Ata uwe na ududu kama kuni still atakusaliti tu yani utadhani wanatafutaga sababu za kuchit.

Sio wote ila majority ya wanawake ni wasaliti hasa wale wanaopendwa kwa dhati.
 
Mimi huwa sipendi shida huwa sikagui simu yake,sina haja ya kusoma email zake as long as najua hata wakimbandua hawaondoki nayo...presha ya nini bwana?
Subiria ukimwi mkuu, kama utawaacha salama wewe na huyo demu wako. Si unajifanya chizi!
 
Pole sana kwa problem iliyokupata, Mimi nipo kwenye the same situation maana wa kwangu yeye ameona nampenda sana mpaka ananionyesha attitude mbaya sana hata nimwambie kitu hanisikilizi, hanielewi kabisa yaani anachukulia kitu kawaida, kwa vile na wasiliana na family yake vitu kama hivyo, so nateseka now na tuliplan soon tuwe mke na mume ila nimeshagundua mapema so nimeongea nae tabia yako sipendi haelewi, na ilikuwa mimi ndio wa kumtafuta kila siku ila nilichofanya ni kitu simple tu, nimepata mwanamke mwingine mzuri sana kumzidi na ananisikiliza na na jifeel nipo kwenye relationship so mkuu hawa wanawake wakitendwa sisi ndio tunaonekana tuna makosa na wakipendwa wanachukua advantage so piga chini tafuta mwingine, kama nilivyofanya wala usilembe kaka..why uwe na stress wakati wapo wengi sana
Safi sana mkuu, mie pia nipo na situation kama hio, isipokuwa wangu ameenda mbali zaidi ya kuflirt na majamaa huko fb ameanzisha mahusiano kabisa. Moja wa jamaa yake wa fb huko mpaka sasa amepanga wakagongane mwaka mpya huu.Demu nipo nae Moshi ila soon atasafiri kwenda Dar kupigwa mashine for a week na hilo nalijua.
Mambo yalianza badilika baada ya kujiunga fb, mwanzoni niliwahi kumkanya juu ya effect za fb katika mahusiano kabla hajaizoea ila alichukulia easy sahizi ndio haambiwi hasikii. Wakahamia whatsapp kubebishana full time.
Niliamua kupiga chini kwa maumivu makali mno maana nilimpenda sana huyu demu na i was ready to do anything for her. Nimeingia gharama nyingi sana kwa ajili ya upendo wangu kwake ila nimejifunza wanawake hawapendeki. Huwa daima wanataka wasivyoweza kupata. Ukimpa mapenzi ya dhati anakusaliti tu. Nishazoea sasa!
 
Ukitaka kuachana na mpenzio/mumeo we anza kupekenyua simu na sijui e-mail na madudu gani sijui. Wengi wanaofanyaga hivyo huwa wameshachoka kuishi na wapenzi wao na hivyo wanatafuta chanzo cha kulianzisha ili kieleweke. N kweli ndugu umekipata ulichokuwa ukikitafuta.
Hiyo ni concept yako brother. Si ni bora kuishi kwenye uwongo kisa unaogopa kuachana...? Realy?
kwangu mm simu napekenyua kama kawa.. na hakuna wa kunizuia... hata yeye anaruhusiwa kupekenyua yangu.... tena naweza hata kumwachia akae nayo cku nzima.

Yanini kuishi kama wachaw... wakat nyie wapenzi .....
 
...Bwasheee..mara nying ukiwa F.B.I kwenye mapenzi...huta enjoy kamwe...na ukishaanza kumchunguza mwenzio basi hutaacha...yani itakua addiction...!! na hata ukidate anoda gal utafanya the same..hii ni tabia mbaya mno!! Dont play kama detectivr agent kwa love..maaana utakutana na mavitu ya ajabu...mwishoe ukafa bure kwa presha..!! Dont do that again bro...ukiwa unataka aman ya roho! What if kama alikua ana flirt tu na watu...but seriously 100% yupo kwako...?? presha za nini...toa insecurities...mwamini mpenz wako
Napingana na ww man. Yaan mfano...bunaona kabisa.. mpenz wako anadalili za kucheat.. na suspect mkubwa ni social media... wewe utakaa hapo umezubaa.. kisa unaogopa kuujua ukweli....?

Ipi bora.. kuishi kwenye uwongo milele... au kuishi kwenye ukweli?
 
Safi sana mkuu, mie pia nipo na situation kama hio, isipokuwa wangu ameenda mbali zaidi ya kuflirt na majamaa huko fb ameanzisha mahusiano kabisa. Moja wa jamaa yake wa fb huko mpaka sasa amepanga wakagongane mwaka mpya huu.Demu nipo nae Moshi ila soon atasafiri kwenda Dar kupigwa mashine for a week na hilo nalijua.
Mambo yalianza badilika baada ya kujiunga fb, mwanzoni niliwahi kumkanya juu ya effect za fb katika mahusiano kabla hajaizoea ila alichukulia easy sahizi ndio haambiwi hasikii. Wakahamia whatsapp kubebishana full time.
Niliamua kupiga chini kwa maumivu makali mno maana nilimpenda sana huyu demu na i was ready to do anything for her. Nimeingia gharama nyingi sana kwa ajili ya upendo wangu kwake ila nimejifunza wanawake hawapendeki. Huwa daima wanataka wasivyoweza kupata. Ukimpa mapenzi ya dhati anakusaliti tu. Nishazoea sasa!
Extrovert.... maaaaan... sihui nikupe nini..
Kwa kweli.. your story... ni kama yangu...
Ex wangu nae alipotea kwenye mitandao ya kijamii... hivyo hivyo... akaota pembe...
Licha ya kumjali.. kumuonesha mapenzi ya kweli..
Nilipiga chin ... kwa hasira na machungu...
Baadae akarud na mbio zote.. lakin wapi nilisha amua tayari.
all in all hawa viumbe wengi wao hawajui wanataka nini... hawajui kabisa......
Ndio maana ni bora.. ucwekeze kwao...ucwaamin 100% maana hawachelewi
 
Man nmeumia kichizi yani. I've wasted three gud years in such a relationship. So many investments that i can't even barely explain man.

Well she in the process of learning najua tu atarudi na machozi after some time akishalizwa huko. By that time nitakuwa mtu mwengine kabisa.

Sintokaa nimuamini tena mwanamke, practicaly not taking serious any of her sayings. Naomba mungu anipe nguvu na anisamehe katika hilo kama itakuwa dhambi.
 
Thats its man... dont trust them.. just listen tu wanachosema. mm mwwnyewe nime lost.. almost one and half year.. on somebody.. who doesnt even value me.
But in the end ni kuwasamehe.. na kujifunza...
 
Wewe achana nae huyo! Utakufa kwa presha bure! Hata mimi nakwambia ukweli toka moyoni nimeumizwa wiki hii hii! Huweziamini nimekonda kwa siku2 tu! Kula kwa taabu mawazo kibaao mwenzako anajirusha tu! Piga chini!
Haya mambo yapo kweli
 
Man nmeumia kichizi yani. I've wasted three gud years in such a relationship. So many investments that i can't even barely explain man.

Well she in the process of learning najua tu atarudi na machozi after some time akishalizwa huko. By that time nitakuwa mtu mwengine kabisa.

Sintokaa nimuamini tena mwanamke, practicaly not taking serious any of her sayings. Naomba mungu anipe nguvu na anisamehe katika hilo kama itakuwa dhambi.
Next time my dear, in any relationship "Dont invest what you cant afford to lose". Uliinvest gharama zako, unaona zinavyokuuma eeh
 
Extrovert.... maaaaan... sihui nikupe nini..
Kwa kweli.. your story... ni kama yangu...
Ex wangu nae alipotea kwenye mitandao ya kijamii... hivyo hivyo... akaota pembe...
Licha ya kumjali.. kumuonesha mapenzi ya kweli..
Nilipiga chin ... kwa hasira na machungu...
Baadae akarud na mbio zote.. lakin wapi nilisha amua tayari.
all in all hawa viumbe wengi wao hawajui wanataka nini... hawajui kabisa......
Ndio maana ni bora.. ucwekeze kwao...ucwaamin 100% maana hawachelewi
Sio wewe tu mkuu mimi mwenyewe nipo kuuguza presha na vidonda vya tumbo.
 
Next time my dear, in any relationship "Dont invest what you cant afford to lose". Uliinvest gharama zako, unaona zinavyokuuma eeh
Acha tu it really suck tho, ila ndio mapenzi yalivyo you fall in hard then when times to fall out come it really hits you even more harder.
 
Umejitakia na umekipata ulichokitafuta.....ila nabashiri utaendelea kuacha mpaka kifo kwa huo upelelezi wako mana no one is perfect..... Jitazame na ww umetakasika au nyani haoni kundule
 
Safi sana mkuu, mie pia nipo na situation kama hio, isipokuwa wangu ameenda mbali zaidi ya kuflirt na majamaa huko fb ameanzisha mahusiano kabisa. Moja wa jamaa yake wa fb huko mpaka sasa amepanga wakagongane mwaka mpya huu.Demu nipo nae Moshi ila soon atasafiri kwenda Dar kupigwa mashine for a week na hilo nalijua.
Mambo yalianza badilika baada ya kujiunga fb, mwanzoni niliwahi kumkanya juu ya effect za fb katika mahusiano kabla hajaizoea ila alichukulia easy sahizi ndio haambiwi hasikii. Wakahamia whatsapp kubebishana full time.
Niliamua kupiga chini kwa maumivu makali mno maana nilimpenda sana huyu demu na i was ready to do anything for her. Nimeingia gharama nyingi sana kwa ajili ya upendo wangu kwake ila nimejifunza wanawake hawapendeki. Huwa daima wanataka wasivyoweza kupata. Ukimpa mapenzi ya dhati anakusaliti tu. Nishazoea sasa!

Wasichana ku deal nao rahisi sanaaa tena sanaaaa wala hujakoseaaa kabisaaa kama anataka kuja kupigwa miti hii mwaka mpya fresh tu mwache aje ila akija na wewe kuwa mgumu vile vile usionyeshe kama ume mind tena mu wish safari njema ila pia vile vile aaka hela maana hawa wanawake saa zingine wanapenda sana show off ila huyo kaa pembeni mwangalie ty
 
Back
Top Bottom