Hivi inawezekana kuishi na MKE kwa mshahara wa 150000?

mbona hiyo hela nyingi the boss
mbagala chumba elfu 5...tuseme kachukua viwili so elfu kumi
umeme elfu 7 maana kwa mshahara huu mambo ya anasa friji ..AC....freezer. bulb zitakuwa mbili tu maybe na pasi tv sijui ila buku 10 inatosha
msosi kila siku elfu mbili mlo mmoja kwa siku ugali matembele na mihogo na pilau la mbali jpili linatosha

nauli elfu 30 ...tena ni nyingi
mbona unaishi tu fresh!

hahahhahaa,unanichekesha sana wewe,hakuna chumba cha buku 5 DAR HII,ACHA KUPOTOSHA
 
inawezekana cha msingi hapo ni upendo,baraka nyingine mungu atawaletea wala usiogope? Ya Mungu mengi anaweza akakuonyesha njia ukapata mara tatu ya hiyo,wwe oa,
 
inawezekana cha msingi hapo ni upendo,baraka nyingine mungu atawaletea wala usiogope? Ya Mungu mengi anaweza akakuonyesha njia ukapata mara tatu ya hiyo,wwe oa,

Ni kweli kabisa na wengi ndiko walikotokea usiogope we owa tu lakin pia zid kujibiidisha na kazi
 
Natumaini wote muwazima kwa neema ya MUNGU wetu aliyeju. Kinachonifanya nije ktk jukwaa hili leo, ni kutaka kuwauliza wana JF wote waliooa na kuolewa. Waniambie leo km kweli inawezekana kuishi na mke kwa mshahara wa 150000. Ukizingatia chakula, kodi ya nyumba umeme, maji, shughuli za kijamii, nauli. Wkt mwingine ugonjwa. Michango kwenye nyumba za ibada. Vocha, mboga, kujenga na kusaidia wazazi. Pamoja na kusomesha watoto wawilli. Naomba jamani niambieni km inawezeka maana nimefikiria mpaka nahisi nataka kughaili kuoa maana sipendi kumtesa mke wangu mtarajiwa pamoja na watoto.

bwana usitafute majanga,,,,,ongeza kipato walau laki 3
 
Kabla ya hiyo laki unusu ulikuwa unaishije naye? Manake inaonekana umedumu naye hadi mkawa na watoto wawili. Au unamzunguzia jirani yako? Kama unamzungumzia jirani yako nakushauri acha umbeya na kufuatilia maisha ya watu wengine. Hayakuhusu!

Mkuu sijaoa bado ila nafikiria nikioa na nikawa na watoto wawili je? Mshahara huo utatosha?.
 
Natumaini wote muwazima kwa neema ya MUNGU wetu aliyeju. Kinachonifanya nije ktk jukwaa hili leo, ni kutaka kuwauliza wana JF wote waliooa na kuolewa. Waniambie leo km kweli inawezekana kuishi na mke kwa mshahara wa 150000. Ukizingatia chakula, kodi ya nyumba umeme, maji, shughuli za kijamii, nauli. Wkt mwingine ugonjwa. Michango kwenye nyumba za ibada. Vocha, mboga, kujenga na kusaidia wazazi. Pamoja na kusomesha watoto wawilli. Naomba jamani niambieni km inawezeka maana nimefikiria mpaka nahisi nataka kughaili kuoa maana sipendi kumtesa mke wangu mtarajiwa pamoja na watoto.

Kibongo bongo mbona inawezekana. Unafikiri mjini watu wana mishahara gani , si ndio hiyo hiyo. Weka wazi kipato chako kwa mkeo then mwachie apange budget ya chakula. Pia matumizi ambayo si ya lazima unapiga chini.
 
inawezekana tena popote pale Tz ila inategemea na kichwa na moyo wa mwanamke, pamoja na akili yako.
 
ila ndugu bado hujaoa, hujawa na hao watoto wawili leo unawapigia budget ya laki unusu, inamana akili yako itaganda hadi upate hao watoto!!?
 
Mkuu sijaoa bado ila nafikiria nikioa na nikawa na watoto wawili je? Mshahara huo utatosha?.

If that is the case wakati unatafakari kuoa, jaribu pia kutafuta kazi sehemu nyingine yenye tija zaidi ya hapo au tafuta shughuli zingine za pembeni (ujasiriamali mdogomdogo) ili kuongeza pato la ziada.
 
Natumaini wote muwazima kwa neema ya MUNGU wetu aliyeju. Kinachonifanya nije ktk jukwaa hili leo, ni kutaka kuwauliza wana JF wote waliooa na kuolewa. Waniambie leo km kweli inawezekana kuishi na mke kwa mshahara wa 150000. Ukizingatia chakula, kodi ya nyumba umeme, maji, shughuli za kijamii, nauli. Wkt mwingine ugonjwa. Michango kwenye nyumba za ibada. Vocha, mboga, kujenga na kusaidia wazazi. Pamoja na kusomesha watoto wawilli. Naomba jamani niambieni km inawezeka maana nimefikiria mpaka nahisi nataka kughaili kuoa maana sipendi kumtesa mke wangu mtarajiwa pamoja na watoto.

MZAZI KAMA WEWE UKO MAHUTUTI MIMI NDO NAELEKEA MOCHWALI,,mana usinge toa mada hii leo hii unge ona yangu ,wana jf tupeni ushauri manamatatizo ya jamaa sawana yangu ila yangu yemezidi,mshahara wangu laki ,na somesha wadogo watatu wawili seko,mwingine chuo,nanina mchumba anataka nimuoe sasa hiv ,niko kazin naishi maisha ya tabu kinoma,najibana ilikatika mshahara nibaki na hata buku 20,bado majanga,maden
 
Wewe baba vero , si ulisema wewe manager wa CRDB?

Hiyo CV niliiweka wakati namfukuzia mtoto wa mjini Asnam sasa siku alivyoniona na koti refu niko kwenye phoenix yangu natoka lindoni akanimwaga ndo ikawa mwisho wa ile cv.. hahahaa..
 
Last edited by a moderator:
Everything is possible........

unadhani wote wanaoishi hum dar wana salary zaidi ya hiyo.......

Duh ila kuna mabinti wachache sana Bongo wanaoweza kuishi na mume wa kipato hiko, tena wengine wanaweza kua nawewe kumbe nje kuna kidume kinahudumia..hapo kaaaaaaaazzzzzzzzi
 
kaka ongeza kipato ndo uoe garama za maisha zinapanda kila cku utaishije. inamana mpaka upate hao watoto wawili utang'a macho na huo mshaara. ckufichi kaka ukioa utajuta ongeza kipato xawe. tafuta hata shuguli zingine ufanye ucngoje mshahara kumbuka mwanamke atahtaji kwenda salun. mi ni mdada cjaolewa ila huo mshahara hautoshi oa uone utanitafuta unambie nilikwambia ukwel.
 
Back
Top Bottom