Hivi inakuwaje mwanaume unamsomesha mwanamke na hata si mke wako

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Kila siku huwa wanaachwa ,utakuta mtu anamkatia ticket tafuta visa mtu anakuja USA anasomeshwa na anamwacha huyo mwanaume.kuna mdada alisomeshwa udaktari 7 years mdada akapata udaktari mdada akafake amebakwa akaitwa police kumbe ni boyfriend Aliyemleta na aliyemsomesha.mkaka akafungwa na alikuwa busy kumsomesha girlfriend na hakuwa na makaratasi mkaka akarudishwa bongo.mkaka kurudi bongo tu mzazi wake akafa ,aliridhi pesa nyingi tu huyu mdada kusikia wacha amfuate bongo aka mkuta mkaka kaoa mwarabu.yule msichana saa hivi kaolewa na mwanaume brother men .mjifunze Kama mnahela Za kuchezea donate to a charity
 
ni mapenzi.....
Kama hujawahi penda huwezi jua.....

Na haswa ukipenda na kuinvest kama mtarajiwa wako
 
Natalia unakuwaga na story nzuri lakini huwa unaandika kama unakimbizwa. Inaanzia katikati inaishia katikati. Tulia bwana uziandike fresh!
 
sio kwamba kila unaye msomesha anatakiwa awe mkeo angalia una lengo la kumusaidia au kumuoa?
 
kuna vitu vitatu hapo: Elimu, Fedha/Mali, Mapenzi.
Vitu hivyo unaweza kujichanganya ukavichanganya hapa na pale, lakini mwishowe huwa vinajitenga.
Mapenzi kwa gear ya elimu ni ngono.
 
Kila siku huwa wanaachwa ,utakuta mtu anamkatia ticket tafuta visa mtu anakuja USA anasomeshwa na anamwacha huyo mwanaume.kuna mdada alisomeshwa udaktari 7 years mdada akapata udaktari mdada akafake amebakwa akaitwa police kumbe ni boyfriend Aliyemleta na aliyemsomesha.mkaka akafungwa na alikuwa busy kumsomesha girlfriend na hakuwa na makaratasi mkaka akarudishwa bongo.mkaka kurudi bongo tu mzazi wake akafa ,aliridhi pesa nyingi tu huyu mdada kusikia wacha amfuate bongo aka mkuta mkaka kaoa mwarabu.yule msichana saa hivi kaolewa na mwanaume brother men .mjifunze Kama mnahela Za kuchezea donate to a charity

Ukweli ni kuwa, ni ngumu sana kuusoma moyo wa mtu. Nafikiri kila mwanaume angejua mpenzi wake anawaza nini moyoni dhidi yake au kila mwanamke naye angefahamu mawazo ya mpenziwe kumhusu yeye wasingeweza kujitoa kiasi hicho cha kumsomesha mtu kwa miaka saba na baadaye kuishiwa kupigwa kibuti! laiti kama binadamu wote tungekuwa na upendo wa kweli matatizo kama haya yasingetukuta!

Wengi waliopenda huwa tayari kuingia gharama wakiamini moyoni kuwa wanawekeza kwa ajili ya maisha yao ya ndoa ya baadaye na hivyo huwa hawajali kiasi cha pesa au muda wanaopoteza dhidi ya wapenzi wao! Ktk hili huwa inanisikitisha sana maana uzoefu unaonyesha mara nyingi pale unapopenda, wewe hupendwi ..... Na mwishowe kuishia kukaanga moyo na kuwaachia wenye meno watafune!
 
kama hujawahi kuumia katika mapenzi kuna uwezekano mkubwa hujawahi kupenda, kizuri kinatengenezwa, wanaume ambao hawapendi kupotezea wadada muda wao hujitoa kwa fedha, kusomesha na hata kulea familia zao, lakini majibu ya mwisho huwa mara nyingi hapana, jambo hili huumiza sana, lakini inatupasa kujifunza kuwa SHIMO HUCHIMBA PANYA LAKINI HUISHI SHIMONI NYOKA.
UKIISOMA MARRIAGE ACT(2004), PROMISE OF MARRIAGE IS A CONTRACT, AND CONTRACT NOT NECESSARY TO BE WRITTEN BUT WELL KNOWN TO THE PUBLIC, KWA HIYO HUYO BIDADA, ALITAKIWA AWE SUED COZ OF BREACH OF CONTRACT(WANASHERIA MUNISAIDIE)
 
Ikiwa naweza kumsaidia mtu tu bila muunganiko wowote wa kindugu au kirafiki...au kuumizwa kwa tatizo lake..
Vip kwa mpenz wa mim,,sm1 i dreamd abt...
Mtu ambaye naamini ni sehemu ya sehemu kubwa katika maisha yangu..
Mtu ambaye leo ikisha naamini kesho tutakua pamoja(wanandoa)..
Nani anatamani chake kisiwe bora...?!
Kwa Mioyo iliyojawa mapenzi,,mtu utamani kumsaidia mpnz wake kwa kila jambo hata maumivu ya tumbo during P ni vile haya mengine ni nje ya Uwezo..?itakuwa pesa kwa ajili ya Ada kama unayo...
Vip usimsaidie thn mwisho wa siku ndo wamilele wako..?
Utaweza kurudisha muda nyuma ili umsaidie..??
Haiwezekani..
Mim nakerwa na tabia ya kusaidia mtu ili umpate kimapenzi..
Ila kama mlipendana kwanza thn kusaidiana ni swala la watu wengine kuona ila mhusika hauwezi hisi wala hesabu eti umemsaidia..!!
Mpende mpnz wako kwa kila ulicho nacho ili siku akiamua kuondoka usiwe na cha kujilaumu.....
 
Kila siku huwa wanaachwa ,utakuta mtu anamkatia ticket tafuta visa mtu anakuja USA anasomeshwa na anamwacha huyo mwanaume.kuna mdada alisomeshwa udaktari 7 years mdada akapata udaktari mdada akafake amebakwa akaitwa police kumbe ni boyfriend Aliyemleta na aliyemsomesha.mkaka akafungwa na alikuwa busy kumsomesha girlfriend na hakuwa na makaratasi mkaka akarudishwa bongo.mkaka kurudi bongo tu mzazi wake akafa ,aliridhi pesa nyingi tu huyu mdada kusikia wacha amfuate bongo aka mkuta mkaka kaoa mwarabu.yule msichana saa hivi kaolewa na mwanaume brother men .mjifunze Kama mnahela Za kuchezea donate to a charity

Unatushauri tusiwape elimu tuwape offer tu za kula na kunywa?
 
kuna kakangu alimsomesha mkewe, tena wala siyo huko usa ni hapa hapa tz.....
huyo kaka alikuwa na kazi nzuri, hela za kumwaga, matatizo waliyokuwa nayo ni kama kwenda holiday mwezini, na the like...
mke kufika chuo akaibua boyfriend.....
mume sababu alikuwa anajulikana watu wakamtonya..... akaweka mtego, akakamata mwizi..... ndoa ikaishia hapo hapo....
my point hapa ni kwamba haijalishi umeoa au hujaoa, mtu akitaka kukufanyia vituko atakufanyia tu
 
my point hapa ni kwamba haijalishi umeoa au hujaoa, mtu akitaka kukufanyia vituko atakufanyia

naomba unieleweshe maana ya kwenda holiday mwezini
 
Inawezekana kweli alibakwa kwa muktadha wa kimarekani. Si huko ulaya na marekani hata mke wa ndoa anaweza kumshitaki mme kwa kosa la kumbaka?
 
mi nilimsomesha mtu driving kanitosa
kuna kakangu alimsomesha mkewe, tena wala siyo huko usa ni hapa hapa tz.....
huyo kaka alikuwa na kazi nzuri, hela za kumwaga, matatizo waliyokuwa nayo ni kama kwenda holiday mwezini, na the like...
mke kufika chuo akaibua boyfriend.....
mume sababu alikuwa anajulikana watu wakamtonya..... akaweka mtego, akakamata mwizi..... ndoa ikaishia hapo hapo....
my point hapa ni kwamba haijalishi umeoa au hujaoa, mtu akitaka kukufanyia vituko atakufanyia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom