Van pierre
Member
- Mar 27, 2011
- 25
- 0
Huyu jamaa me cmwelewi kabisa! kuna siku nilimsikia anasema TUSILE CHIPS, MAYAI, NYAMA, UGALI, WALI, SAMAKI, MAHARAGE, DAGAA and TUSINYWE JUICE, SODA ZOTE, BIAAAA huyu jamaa anataka tu starve to death nini!!
anataka tuwe na jamii ya watu vikonde? 2tafanye kazi?? Kuna siku aliniua kabisa,nikamsikia laivu kwenye hiyo tv anakataza watu kunywa cocacola, pepsi.
And kutumia blueband,halafu anazitaja hizo bidhaa kwa majina yake KABISAAAA!jamaa si anaharibu biashara za watu huyu???au me ndo nipo wrong???!