ameshatoka ila nasikia hawezi kupiga game tena.
ameshatoka ila nasikia hawezi kupiga game tena.

Anapiga game kama kawa. Je, hukuona Alhamisi na Jumapili wiki ilopita?

Ila bado anatumia magongo!

sijui kama umemuelewa jamaa

....ana maana ile GAME? Kama alimaanisha GAME basi sinauhakika!!
wadau kwani alipatwa na masahibu gani ni ajali au? pole bambo

kwani sikaumia miguu tu? Game zote atakuwa anatandika bhana.