Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
901
1,334
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
 
Nilikonda sana kwa kweli. Nadhani hadi sasa ningekuwa na Kilo 3 tu
 
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Alafu nchi ikaingia uchumi wa kati!!

"Atakayekubariki Israel nitambariki"
 
Tungekuwa nchi ya hovyo kama Somalia au Yemen
 
Kama JPM angekuwapo US DOLLAR ingekuwa inapatika bila shida tena exchange rate isingekuwa inazidi 2,300. Watu wangeendelea kununua vitu nje bila kudunduliza Dollaar.
 
Alafu nchi ikaingia uchumi wa kati!!

"Atakayekubariki Israel nitambariki"
Wewe acha porojo zako uchumi wakati wapi? Mbona alishindwa hata kuongeza mishahara kwa watumishi? Mbona mifuko ya hifadhi za jamii iliunganishwa? Mbona alileta sheria za kikokotoo? Mbona Bank zilifungwa?
Aliiba uchaguzi kisha akaingiza wabunge 19 haramu bungeni ilikuwa shida
Sheria hazikufanya kazi bali mamuzi ya mtu mmoja
 
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Bagamoyo hakukua na kiwanda cha chimvi, huo ni uongo.

Sema biashara yako ilikua hovyo enzi za Magufuli, usitusemee wengine.

Usipende kuongelea waume za wenzio, acha watajiongelea wenyewe
 
Wewe acha porojo zako uchumi wakati wapi? Mbona alishindwa hata kuongeza mishahara kwa watumishi? Mbona mifuko ya hifadhi za jamii iliunganishwa? Mbona alileta sheria za kikokotoo? Mbona Bank zilifungwa?
Aliiba uchaguzi kisha akaingiza wabunge 19 haramu bungeni ilikuwa shida
Sheria hazikufanya kazi bali mamuzi ya mtu mmoja
Uchumi na kuongeza mishahara wapi kwa kwapi .mimi pato langu kiiongezeka sio laazin niongeze nguo .ninawa kuongeza hata kiwanja , na siku nikikiuza utaweza ukFikir I
Mimi ni mchawi kumbi ni akali tu
 
Wewe acha porojo zako uchumi wakati wapi? Mbona alishindwa hata kuongeza mishahara kwa watumishi?
Uhalisia wa kuongeza mshahara huangalia mfumuko wa bei!
Mbona mifuko ya hifadhi za jamii iliunganishwa? Mbona alileta sheria za kikokotoo?
Wingi wa mifuko ya hifadhi ya jamii siyo kielelezo cha uchumi imara. Ni suala la maamuzi tu.
Kikokotoo kimeanza kufanya kazi mwaka huu mwez wa saba. Miaka miwili baada ya kifo cha shujaa.
Kikokotoo Magufuli alikikataa na akamuondoa kwenye nafasi yake aliyekuwa mkurugezi
Mbona Bank zilifungwa?
Benki hufungwa kulinda amana za wateja na uchumi wa nchi. Awam ya 5 benki 3 zilifungwa awamu ya 4 benk 7 zilifungwa na katika awamu ya sita kwa miaka miwili benk 2 zimefungwa
Aliiba uchaguzi kisha akaingiza wabunge 19 haramu bungeni ilikuwa shida.
Sheria ya uchaguzi inaeleza bayana idadi ya wabunge wa viti maalumu wananyopatikana. Chama kilichopata alau 5% ya kura za rais kinapata wabunge wa viti maalum. Hii ni kw mjibu wa sheria. Soma sheria ya uchaguzi
Sheria hazikufanya kazi bali mamuzi ya mtu mmoja
 
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
NCHI INGEKUWA IMEFILISIKA KABISA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom