hivi haya masoksi hawaruhusiwi kuyavua?

rebeca

Senior Member
Dec 18, 2011
190
27
4.JPG
jamani Dar si joto sana kucheza nayo?lol
 
soksi ni muhimu wakati wa mechi zina zuia majimaji ya jasho kuingia kwenye kiatu maana yakiingia ndani yanaweza kusababisha mchezaji kuugua fangazi zisizopona au kuvimba miguu kama ni denti unakuta anafukuzwa hata shule. Nitarudi baadae kidogo
 
Halafu licha ya soksi kuwa protect (lol) kuna protection nyingine wanaweka ndani ya soksi . Ukimuangalia mwenye soksi za bluu kuna kitu kaweka mbele ya ugoko, sasa bila soksi huwezi kuweka protection hizi.
 
kwa kweli inashangaza!
Kuna mmoja ataanzisha kwa nini wadada mnavaa blauzi, si muache vifua wazi maofisini pafomensi na atendensi ipande?

keshasema mwali kule.....mwisho wa mwaka....vikumbo vya kuanzisha thread....
 
nikikuPM utajua mie ni He au She?
Sawa mtoto, usiogope

sikumbuki kama nshakupm, kama sijakupm tafadhali, ngoja niache ujumbe hapa hapa hata kama usipo uona mod atakuambia. MWENZIO NAKUPENDA KIMAPENZI. SIJUI NINI NDO NINI SIJUI. ujumbe umefika. Mia
 
Hahahahahah!! Acha niishie hapa hapa maana sitaki kusema nani kanichekesha! JF kuna mambo.
 
unajua thread nyingine zinaanzishwa ili chit chat iendelee.....kiranga ndo ameanza chit chat..........misuli ya kwenye ugoko.
 
Afu weye!!!!
Sijui nini, sijui nini
hata mie sielewi
ila mwenyewe anakuona
sikumbuki kama nshakupm, kama sijakupm tafadhali, ngoja niache ujumbe hapa hapa hata kama usipo uona mod atakuambia. MWENZIO NAKUPENDA KIMAPENZI. SIJUI NINI NDO NINI SIJUI. ujumbe umefika. Mia
 
Back
Top Bottom