Hivi gesi ya Mtwara walionufaika ni watawala ndiyo maana tupo gizani?

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Kwa sasa navyosema sisi tupo gizani tunaisoma namba huku serikali ikitoa taarifa ya upungufu ! sijui ni upungufu gani! Hii nchi mbona watawala wansumiza wananchi ! Umeme umekuwa kero kubwa sana!
 
Back
Top Bottom