Hivi Dar Live ipo above the Law hapa Tanzania?

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,952
5,982
wana Jamii,inasikitisha kuona watoto wapo Dar live mpaka usiku wa manane,kwenye karibu matamasha yote yanayofanyika hapo.katika Picha hizi,mfano hiyo ambayo ina mpigapicha,katikati ya miguu ya mpiga picha kuna under 18 boy,je Tanzania tunaandaa kizazi gani jamani? wapi basata?Huyu Shigongo Mbona amwogopi Mungu japo anajiita mzee wa kanisa? basata4.JPG

7.JPG
 
aiseeeee babaangu nasikiya kuko kuna steg ya kupanda na kushuka,,,,kuna muda nilisikia tetesi inamilikiwa na rizi 1 ila nikapuuzia sasa sijui ni kweli?????
 
Ni utendaji mbovu wa wizara zinazihusika na makuzi ya jamii! katika sehemu kama hizo hutakiwi kuingia bila kitambulisho
kinachoonyesha kwamba una umri wa zaidi ya miaka 18. na pia si vyema kwa wale ambao hawajamaliza walau form 4
kujiingiza huko. tunaomba mamlaka husika zichukue hatua ili kuunusuru umma wa kitanzania...
 
Hiyo ni mali ya risi 1/2, hivyo hamna shida, wanaongezea hela ya kumalizia magorofa pale k/koo
 
aiseeeee babaangu nasikiya kuko kuna steg ya kupanda na kushuka,,,,kuna muda nilisikia tetesi inamilikiwa na rizi 1 ila nikapuuzia sasa sijui ni kweli?????

Mkuu inawezekana mi kuna mtu yupo Basata tena na wadhifa wa juu tu aliniambia familia ya Mkuu wa Nchi inahusika humo katika umiliki......
 
Sheria nchi hii inategemea muhusika ni nani si wote tupo chini ya sheria so kama ukumbi ni wa
 
Mkuu inawezekana mi kuna mtu yupo Basata tena na wadhifa wa juu tu aliniambia familia ya Mkuu wa Nchi inahusika humo katika umiliki......

aiseeeee babaangu miaka ya 2006 nilivyo kuja dar kutokea rombo nilifikia bagalakwa mjomba wangu lile eneo ambalo iyo dar live ilipo kulikuwa na benk ya crdb sasa siku izi naambiwa haipo mkuu aliyowa amri ihamiswe manaye ajeka ukumbi wa staree ili wao wakifanya ufisadi wa2letee wasanii wa2burudishe 2sahau ufisadi wanaoufanya
 
SIjui kwanini erick hakufikiria wala kumshauri huyo mtoto wa mkulu anayetumiwa naye kuanzisha shule au kanisa - hawa walokole wa siku hizi bana
 
Kabla hatujalaumu viongoz kwan hao watoto hawna wazazi??Malez ya watoto ni suala la wazaz,km wataka serikal ije ikulelee watt we endelea kungoja.Weng wao wanaingia na wazaz wao toka dsco toto then wazaz wanakunywa beer mpaka uck huo!!Kafanye utafit.
 
Je unafikiri ni Darlive pekee penye hili tatizo? Maguest, bar je?

Hii nchi watu hawafati sheria wanazivunja kila leo wala si Darlive peke yake!

Je jiulize lulu alikuwa ana kwenda kumbi gani(mfano).

Ni vyema hizo lawama ukazitupia serikali kwani wao ndio wanatakiwa kuhakikisha sheria zinafatwa!

Mtu chini ya umri wa miaka 18 hatakiwi kuingia kumbi za starehe hasa usiku!

Tujiulize ni kweli Darlive pekee ndio wanavunja sheria?
 
kaka nadhani unafahamu watoto wa nowadays. wanawazidi akili wazazi mkuu. me nadhani jukumu la kulea watoto ni la kila mmoja wetu. uongozi wa dar live ungeweka vigezo na masharti, under eighteenth wote hamna kuingia.
 
Wasimamiaji sheria wenyewe wana meno ya plastic, corrupt,conflict of interest zimewabana. Nani wa kumfunga paka kengele!
 
Back
Top Bottom