Usije kulaza kolo dalaUnapigwa mpaka unauliza anayecheza ni Mamelod au Masandawana?
Usije kulaza kolo dalaUnapigwa mpaka unauliza anayecheza ni Mamelod au Masandawana?
Hii match kama Aucho hayupo namba 6 atacheza job halafu ukuta ni Mwamnyeto na BaccaMauya mtoe hapo kabisa yule hawezi hata kupangwa mechi kama hiyo ni bora Muda arudi chini kama ikitokea sure boy anashida.
Aisee. Kwamba Simba ili iweze kumfunga Al hly iwe na nusu ya ubora wa Yanga ndo unachomaanisha? Yaani hichi kiwango cha Simba cha sasa inatakiwa ipambane ifike angalau nusu ya ubora wa Yanga na ikifika hiyo nusu ya ubora wa Yanga Al hly anatoka kabla hata ya mechi ya marudiano. Kwa Analysis hii Mame atakula 5G nyumbani na ugenini. Yanga 10-0 Mame na Al hly ana bahati sana kuongoza kundi mbele ya Yanga maana inahitajika nusu ya ubora wake tu kumuadhibu.Mi naamini Yanga anayo timu ya kushindana na Mamelody hata wao wenyewe wanajiuliza huko walipo namna ya kucheza nayo.
Simba sisi tukiongeza ubora kidogo angalau nusu ya ubora alio nao Yanga na tukichanganya na uzoefu wetu basi Ahly tunamtoa pale kwa mkapa kabla hajafika kwao.
haiwezekani,hatakuwepoDroo imepangwa na ni dhahiri shahiri, Yanga imekutana na timu ambayo hakuna timu anayetamani akutane nae. Mamelod ndio timu inayoogopwa na kila mmoja ila Yanga ndio imepangwa nao.
Ni vizuri kupimana ubavu na squad ya Yanga iliyokamili ila kama ikitokea kuna mchezaji wa muhimu kamiss basi ni bahati mbaya unaenda vitani ukiwa haujabeba silaha zako kamili lakini lazima ukapigane.
Je, Aucho atakuwa amerejea uwanjani? Yanga bila Aucho ina struggle sana ni roho ya Yanga iliyo bora.
MhasibuUnapigwa mpaka unauliza anayecheza ni Mamelod au Masandawana?
Hata mimi nashangaa wameanza kupagawa mapema sana...Si tumekubaliana yanga ana kikosi kipana?
😂😂😂imebidi tu nichekeMh sure boy au Mauya kwa wale jamaa ni mbingu na ardhi.
Mwasibu hayachelewi kukutokea puani weweUnapigwa mpaka unauliza anayecheza ni Mamelod au Masandawana?
Za kazi mwasibu uchwaraUnapigwa mpaka unauliza anayecheza ni Mamelod au Masandawana?
Fresh tuu hata tukitoka brotherMh sure boy au Mauya kwa wale jamaa ni mbingu na ardhi.
Hua mpo busy na mambo yetu kuliko yenuHata mkiomba muingie wote kipigo ni pale pale tu iwe home ama away
Zee la gundu on one and twoUnapigwa mpaka unauliza anayecheza ni Mamelod au Masandawana?
Mwamnyeto hapana yule haiwezi hii mechi..Mwamnyeto? Aisee unataka Mamelod wapate penati? Au Mwamnyeto achome? Mamelod wana kasi wale Mwamnyeto haiwezi ile kasi