Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

Makonda AKA Daudi Albert Bashite ameshazungukia Makanisa mengi na Misikiti ya kutosha. Katika sehemu zote hizo hakuna hata moja itakayobadilisha matokeo yake ya form four kutoka sifuri hadi kufaulu. Kitu anachopota kwao ni msaada wa kisakolojia ili aweze kuhimili aibu na mashambulizi kutoka kwa wananchi wanaohoji matokeo yake ya kitato cha nne na tuhuma za kutumia cheti cha mtu mwingine.

Msaada wa kisaikolojia kutoka kwa watumishi wa Mungu kwa Makonda unamatokeo ya muda tu, na wala hauna matokeo ya kudumu. Ni wakati sasa kwa Wachungaji na Mashehe kumshauri Makonda kutumia fedha aliyochuma akiwa mkuu wa wilaya na mkoa kwenda nje ya nchi (mfano Kenya au Uganda) kusoma tena kidato cha nne ili apate cheti chake halali. Umri wa Makonda unamruhusu kusoma kwa sababu elimu haina Mwisho. Atamaliza masomo yake na anaweza kumkuta mteule wake akiwa madarakani bado. Bila ya hilo, Makonda anahangaika bure, hatafaulu kidato cha nne kwa kuzunguka makanisani na misikitini kuombewa.
Ni kweli Daudi Bashite amefoji vyeti,lakini mashambulizi dhidi yake hayatoki hasa kwa wananchi.Kiukweli yanatoka kwa wauza unga.Huu ndio ukweli.Tusiandike mambo ili kufurahisha nafsi zetu tu.Hii ni vita ya wauza unga dhidi ya Bashite.Mungu wao ambaye ni fedha amenajisiwa!
 
Haiwezekani mtu akapata fa fa fa fa zote kati ya masomo yote aliyosoma hakuweza hata kupata D moja???? He is actually a profound
 
"Juzi hivi nilipata kumsikiliza Mh Paul Makonda akielezea historia ya maisha yake iliyojaa changamoto nyingi. Clip hiyo ikanikumbusha maneno aliyoniambia Paul Makonda mwaka 2009 wakati tunakwenda Dodoma. Alivyoeleza kwenye clip ndivyo alivyonisimulia siku ile tukiwa safarini kwenda Dodoma".

Huo mwaka (2009) ni muhimu sana katika historia ya taifa letu. Mwaka 2009, Dodoma. Nakumbuka kipindi hicho pia nilikuwa naishi Dodoma. Wakati wa vikao vya Bunge, Dodoma ya mwaka 2009 ilikuwa ya wapambanaji. Wapamabanaji dhidi ya ufisadi, ukianzia hasa na ule wa Richmond uliopelekea Mh. Lowassa kujiuzuru uwaziri Mkuu mwaka 2008. Timu ya wabunge machachari wasiozidi kumi na mbili waliweza kutikisa Bunge vilivyo. Ni katika kipindi hicho, Mwaka 2009, Mbunge niliyempenda na kujivunia aliacha dhamana aliyopewa na wapiga kura wake. Baadaye, chama kisichokuwa na usajili kikaibuka kuwa mbadala. CCJ. Kilionekana kingekuwa kimbilio kwa baadhi ya wabunge na vijana wengine machachari. Tulifurahi sana na kujisemea afadhali iwe hivyo. Wapi! Leo, mwaka 2017, ni miaka minane. Ni muda mfupi sana. Lakini ni mrefu pia. Watosha kufanya tathmini. IPI? Ya yale yaliyopiganiwa mwaka 2009, na ya wale makamanda wa vita. Members, mna kumbukumbu? Mwaka 2009 DODOMA RICHMOND CCJ briefcase kuibiwa mtaani CCK UPINZANI MABADILIKO LEO!
 
kuna uhusiano kati ya elimu ya darasani na matendo yako katika dunia ya sasa ya sayansi na technolojia,kwani hekima ya uongozi huja kwa njia ya talanta,elimu au uzoefu wa eneo husika makonda hakuwa na hata moja kati ya haya ,pili ni muhimu kufahamu kuwa kuna watu wana akili nyingi ila wapo nje ya system ya serikali,ni kama ma observer wa mchezo hao watu ni hatari sana
I couldn't agree more with you Mdukuzi.
 
kuna watu tumesoma kwa shida kishenzi kuanzia msingi,O level.A level.chuo kikuu kwa shida sana atukuwai kufikiria kama leo hii tutafanya hizi kazi tunazo fanya tulifikiria tutakuja kufanya kazi nzuri ambazo tulizipenda leo hii tuna kula magwanda,tunafunga buti tunaenda operation, mission kibao kuzifanya duniani,tunateseka balaa uko afu anatokea mtuu amefeli 4m 4 kapata 0 ananunua cheti anatumia jina co lake anafanya kazi nzuri anakula raha tuu fullu mustarehe afu tumuangalie tuuu aweke vyeti tuonee kama ni yy kweli tunamuunga mkono kwa kupambana na madawa ya kulevya 100% ila tunataka vyeti vyake halali.....!!!
 
Ni kweli Daudi Bashite amefoji vyeti,lakini mashambulizi dhidi yake hayatoki hasa kwa wananchi.Kiukweli yanatoka kwa wauza unga.Huu ndio ukweli.Tusiandike mambo ili kufurahisha nafsi zetu tu.Hii ni vita ya wauza unga dhidi ya Bashite.Mungu wao ambaye ni fedha amenajisiwa!
Wauza ngada hawatushindi,tatizo askali wetu kila.za
 
YAPO MENGI YA KUJIFINZA HASA ISSUE YA MADAWA YA KULEVYA
Anauthubutu wa kujaribu.
ANGALIZO
Vijana muepuke kufoji vyeti mtaumbuka, ni hatari sana. Cet homme appelé Makonda est vraimen tupide
 
Yaani wewe Sijui nikupe sifa gani itakayokufaa kwa uwezo wako duni wa kugeneralize vitu. Unataka kuwaaminisha watu kuwa wote waliotoa ushuhuda juu take ni wauza unga? Ni upuuzi kujitetea kipuuzi namna hii. Nawe ni mmoja Kati yao basi kwani alichofanya yeye siyo kupambana na madawa ya kulevya bali kupandisha bei yake na kuwafanya waliouingiza kwa mgongo wake wauze na kulitawala soko.
Kama unatumika basi unatumika vibaya. Hakuna muuza unga anayehangaika Nate zaidi ya wale aliowadhulumu na kuwachongea huku yeye akifanana na au kuwazidi kwa kosa hilohilo.
Ni kweli Daudi Bashite amefoji vyeti,lakini mashambulizi dhidi yake hayatoki hasa kwa wananchi.Kiukweli yanatoka kwa wauza unga.Huu ndio ukweli.Tusiandike mambo ili kufurahisha nafsi zetu tu.Hii ni vita ya wauza unga dhidi ya Bashite.Mungu wao ambaye ni fedha amenajisiwa!
 
Ni kweli Daudi Bashite amefoji vyeti,lakini mashambulizi dhidi yake hayatoki hasa kwa wananchi.Kiukweli yanatoka kwa wauza unga.Huu ndio ukweli.Tusiandike mambo ili kufurahisha nafsi zetu tu.Hii ni vita ya wauza unga dhidi ya Bashite.Mungu wao ambaye ni fedha amenajisiwa!

Mkuu;
Yaani unataka kuihalalisha nguruwe kuwa ni kitoweo ati kwa sababu imetolewa ngozi?? Madawa ya kulevya na vyeti vya kufoji wapi na wapi?? Kununua cheti cha mwngine na kujibadili hadi ubini na ukoo na madawa ya kulevya wapi na wapi?? Hao wauza madawa ndo waliviiba vile vyeti vyake?? Alionesha nini kwenye uhakiki wa vyeti uliopita nchi nzima?? Funga mdomo wako na unyamaze kimya. Aoneshe vyeti awaaibishe wauza ngada. Si vinginevyo
 
Ni kweli Daudi Bashite amefoji vyeti,lakini mashambulizi dhidi yake hayatoki hasa kwa wananchi.Kiukweli yanatoka kwa wauza unga.Huu ndio ukweli.Tusiandike mambo ili kufurahisha nafsi zetu tu.Hii ni vita ya wauza unga dhidi ya Bashite.Mungu wao ambaye ni fedha amenajisiwa!
Vita hii Ni nzuri lakini haimuhalalishii kughushi nyaraka za serikali na kufanya udanganyifu (zuri moja halifuti baya) pa kusifiwa Asifiwe pa kuwajibika awajibike
 
Mpendazoe ongera kwa analysis nzuri! You have got an independent mind, hauyumbishwi na mihemko ya msimu!
 
Mkuu, natamani uzungumze Mengi zaidi kuhusu RC wetu, kwa mfano, wewe kama mtu wake wa karibu uliwahi kugundua au kuhisi lolote kuhusiana na jina lake halisi?
 
ukitaka kufanikiwa take time to learn vijana wote waliojifanya kimbelembele kuliko wakubwa zao hawakufika mbali,tupac,amina chifupa,martin luther king jrn,malcom x,dr kreluu, nk

Hapana mkuu, Dunia imebadilishwa na watu waliojifanya 'kimbelembele', hao uliowataja 'kimbelembele' chao kilikuwa kina tija na ndio maana mpaka tunawakumbuka.

Hivyo 'kimbelembele' katika maisha kinatakiwa, kikubwa unajifanya 'kimbelembele' kwa mtindo upi?
 
Back
Top Bottom