VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Timu ya soka ya Hispania inayoshiriki michuano ya Olimpiki nchini Uingereza,imechezea kichapo cha bao moja kwa bila toka kwa Japan. Ni katika mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo. Kazi imeanza...