M Mikeyy Senior Member Jul 8, 2015 106 35 Dec 6, 2016 #1 Wadau nimesikia hisa za makampuni ya simu zinaanza kuwa listed kwenye DSE january, tulioko mikoani tunazipataje?
Wadau nimesikia hisa za makampuni ya simu zinaanza kuwa listed kwenye DSE january, tulioko mikoani tunazipataje?
B BatteryLow JF-Expert Member Aug 14, 2011 446 149 Dec 6, 2016 #2 Tungewezeshwa kununua pia kupitia mitandaoni!
Zingatia Senior Member Sep 4, 2015 179 69 Dec 6, 2016 #3 Safi...tungeambiwa pia kama tutaweza kununua hisa kupitia mitandao