Hili ni zali la mentali ama ni balaa.....

Nashukuru umeniruhusu... Nilitaka tu kujua ni mahusiano ya aina gani wapenda kwa maana unapenda nani awe na upper say na vitendo? Are you OK ukiwa mkononi kwa mwanamke ili mradi tu ni mzuri na ana uwezo? Kukulipia bill yako sio tatizo, tatizo linakuja;


  1. Kakuita 'boy' ina maana kakuona ni mvulana tu sio mwanaume, yaani bado mtoto.
  2. Inaonekana alikuja kuketi ulipo sababu aliona unafaa kutumika. Yaani utamfaa kwa tasnia yake hio ya movie... Akajua kabisa akiketi karibu na wewe atapata tu attention yako na ndio maana kakuachia Biz card yake.
  3. Inaonesha yupo step ahead of you kuliko wewe! Lol.

Ndio maana nikasema kuwa nahofia kuwa nitauwa vibe yako... Sidhani kama hilo ni zari la mentali na kama ni hivo basi possibility ni ndogo sana. Uzuri wa hili naweza kuwa nimekosea... hahaha!

Very Matured, Well Said, i have nothing to add.
Heshima sana kwako. na like yangu u deserve!
 
Jamani, Si Kama Nimesema I am Sexually Interested With Her...I think You GOT THIS WORING My AshaDii...

Nope,you got AshaDii wrong.
Usi jirahishe kiasi hicho,anyway,sijui in your shoes ninge fanya
nini,lakini hata kama ninge kubali,nisingekuja kusema MMU,tena kwa
kumtaja jina kabisa.

Una uhakika gani yeye sio member wa MMU?
This is fake.
 
Last edited by a moderator:
None of the above mentioned, cyo zali la mentali wala cyo balaa, ni KAWAIDA SANA! Ucogope kuongeleshwa na bongo movies wla kulipiwa bill mbna ITS NORMAL!
 


(Kusema Kweli
Nilvutiwa na Viatu Vyake - High Heels).
........

OOH My God
Si Mdada akaja straight mpaka nilipokua nimekaa. Moyo ukanistukaje????


Those two sentences sprinkled with a "LOL" here and a "LOL" there, make one wonder......


Just sayin'
 

morning my people.

Ilikua asubuhi mishale ya saa moja na dakika kama arobaini, nikiwa nimetulia katika mgahawa wa yummy yummy pale mitaa ya kati, oh i mean city center, nikipata kifungua kinywa a.k.a break fast (two slice of bread/two sausages na cup of cappuccino. Si unajua kabla hujaingia kwa office ni lazima ujaze tummy ili upate energy ya kupiga mzigo
.

Mara akaingia mdada mmoja mrembo flani hivi (kusema kweli nilvutiwa na viatu vyake - high heels). But yule mdada she looked familiar to me, nikiwa bado najiuliza nitakua nimemuona wapi huyo mdada, ooh my god si mdada akaja straight mpaka nilipokua nimekaa. Moyo ukanistukaje???? Kabla ya moyo haujatoka kwenye mstuko. Nikisikia sauti ikaniuliza...hello boy, can i can i join you?......na mm nikamjibu kwa kifupi...yes, go on.....muhudumu akaja fasta kuchukua order...yule mdada akamwambia na mm nilitee kama anachokula huyo boy...mhudumu akesepa zake...tukabaki wawili...moyoni nilikua bado najiuliza huyo mdada mbona kama namjua...nikiwa bado najiuliza...yule mdada, akanitupia swali...do you come here often....nikamjibu kwa kifupi sometimes...baado ya hapo mzungumzo yetu yalikua kama ifuatavyo.

Mimi: You look familiar to me, do i look familiar to you?

Mdada: No, i have never seen u before, but may be utakua umeniona kwenye tv.

Mimi: Mhhh!!! So unafanya kazi kwa tv station.

Mdada: Hapana, umeshawahi kusikia bongo movie.

Mdada: Yeah

mdada: Okay, niko kwenye tasnia hiyo.

Mimi: Good to know that, my name is......(nikamtajia jina langu) and nice to meet you.

mdada: My name is yvonne, pleasure is mine. Umeshawahi kufikiria kufanya acting.

Mimi: No, no hata siku moja.

Mdada: Why?

Mimi: Because i dont think i can do acting...niko na my good career...

Mdada: But, you have all potentials to be good actor.

Mimi: Mhhh!!! What potentials??

Mdada: Your look, your height and confidence in you...una sifa za kuwa actor kusema kweli.

Mimi:mhhh!!! Do u think so?

Mdada: Kweli kabisa.

Mimi: Okay, i will think about it

nikajua mazungumzo yetu yatakua yameishia hapo....lol....yvonne akatoa business card akaniambia call me when you are ready na nitakusaidia kwenye tasni ya movie, niko serious you can be a good and famous actor...mkaka wa watu nikachukua ile business card....then, akimuita mhudumu, akufungua pochi, akatoa pesa na kumpa yule mhudumu akamwambia hivi - kata na huyu brother and keep change - then she shook my hand and say goodbye.

Dah.....kazi hapa kwa office kabisa....yvonne ameniachia maswali mengi kichwani na maneno machache mdomoni...lolz



samahani muhusika kwa vile nimeamua ku-edit story yako na kujitahidi kupata theme ya hii story uliyotuletea hapa jamvini
1- hiyo part ya introduction niliyoi-bold in red color nadhani ni utangulizi na hauna theme yoyote ya maana
2- hiyo para ya pili in blue color ni maongezi ya awali na ni salamu nayo hayana kitu cha maana na hatuwezi kusema theme ni "kusalimiana na actor yvone"
3- hiyo green colored text naona ndio imebeba theme ya hadithi nzima nayo ni "qualities of a male actor" au sifa anazotakiwa kuwa nazo muigizaji wa kiume. Na kwa kujipigia pande mwandishi anasema yeye anazo sifa hizo
4- hii aya ya mwisho "autro" nayo haina cha maana zaidi ya kuonyesha mshtuko mkubwa aliokuwa nao mwandishi wa hadithi hii na ugumu alionao kufanya maamuzi juu ya kipaji alichonacho na jinsi mvumbuzi wa kipaji hicho yvone alivyokuwa tayari kumsaidia mwandishi.

Hitimisho la uchambuzi wangu.
1- kichwa cha habari kilitakiwa kubeba theme ya hadithi nzima - vigezo vya muigizaji wa kiume.
2- sio kila aliyeajiriwa kwenye kazi nzuri hawezi kuwa muigizaji
3- uigizaji ni kazi isiyothaminiwa na jamii ya watu walioajiriwa kwenye white color jobs

ni maoni yangu tuu...nothing like personal vendetta.
 
Hakika umeandika vizuri!
Hata hii ni movie!

Hila kwa haraka huyo mdada ameona unaweza kumtengenezea pesa hakuna kingine!
 
Kulinda maadili yako na jamii mpotezee maana litakuwa lisugar mummy ilo maana mambo gani ya kuitana Boy!
 
wewe unaona hii bahati?
mimi bora nzimikiwe na secretary wa stationary au mwalimu wa primary kuliko
watu wa bongo movies..
i mean it
 
Nashukuru umeniruhusu... Nilitaka tu kujua ni mahusiano ya aina gani wapenda kwa maana unapenda nani awe na upper say na vitendo? Are you OK ukiwa mkononi kwa mwanamke ili mradi tu ni mzuri na ana uwezo? Kukulipia bill yako sio tatizo, tatizo linakuja;


  1. Kakuita 'boy' ina maana kakuona ni mvulana tu sio mwanaume, yaani bado mtoto.
  2. Inaonekana alikuja kuketi ulipo sababu aliona unafaa kutumika. Yaani utamfaa kwa tasnia yake hio ya movie... Akajua kabisa akiketi karibu na wewe atapata tu attention yako na ndio maana kakuachia Biz card yake.
  3. Inaonesha yupo step ahead of you kuliko wewe! Lol.

Ndio maana nikasema kuwa nahofia kuwa nitauwa vibe yako... Sidhani kama hilo ni zari la mentali na kama ni hivo basi possibility ni ndogo sana. Uzuri wa hili naweza kuwa nimekosea... hahaha!
Wanawake wa JF mnajua kushusha watu, ona sasa ulivyomkatia stimu huyu msomali wa watu!
 
Wanawake wa JF mnajua kushusha watu, ona sasa ulivyomkatia stimu huyu msomali wa watu!

Georgeallen, hili nililitambua mapema... Hopefully umesoma toka post # 1. Yeye alinipa ruhusa ya kumuuliza maswali na hayo ndio zawa la maswali yenyewe... Iweje tena tulaumiwe tena wanawake wote wa jf? Lol
 
kuna yule aliyemzimikia Jakline wolper hadi akamtungia wimbo.

Mkiungana mnaweza kuja na aidia itakayowatoa kimaisha labda.
 
Hakuna zali hapa inaonesha huna exposure (meeting with different frndz around da world), thus y yo hv experienced the difference, kama ni monalisa ambaye jina lake halisi ni YVONNE(mama wawili), sidhani kama kuna jipya, ni vizuri umchukulie kama rafiki wa kawaida na kama kuna nyongeza then itajitokeza baadaye but usikomplicate.

Yap yap
 
Back
Top Bottom