CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Atimae Yanga wamekamilisha usajiri wao kwa 99% kwa ajiri ya klabu bingwa africa na ligi kuu bara.
Katika usajiri mpya klabu ya Yanga imewaacha baadhi ya wachezaji na kuwapeleka wengine kwa mikopo katika baadhi ya clubs nyingine za ligi kuu.
Wachezaji walioachwa ni pamoja na nahodha na mchezaji mkongwe Shadrack Nsajigwa ambaye amepewa kazi maalumu ktk benchi la ufundi,wengine walioachwa ni pamoja na Nurdin Bakari,Stephano Mwasika,Yaw Berko,Godfrey Taita,Shamte Ally,Rashidi Gumbo,Idrisa Rashidi na kipa Saidi Mohamed ingawa Hamisi Kiiza bado suala lake limewekwa pembeni kwa muda maana wanafanya makubaliano na striker wa kigeni na mambo yakienda vizuri wataachana na Kiiza.
Watakao tolewa kwa mkopo ni Ibrahi Job(anatafutiwa timu)Ladislaus Mbogo(Rhino ya tabora)Omega Seme(tanzania prison)Rehani Kipingu na John Banda(ashanti united)
Kikosi kipya kitakua na wachezaji 25 na wanne watakua ni wa kigeni.
Makipa:Ali Mustafa,Deo Munishi na Yusuph Abdul.Mabeki wa kulia ni:Mbuyu Twite na Juma Abdul huku kushoto wakiwa ni Oscar Joshua na David Luhende,mabeki wa kati ni Nadir Haroub,Kelvin Yondani na Rajabu Zahir.
Viungo ni Athumani Idd chuji,Frank Domayo,Haruna Niyonzima,Somon Msuva,Salum Telela,Reliants Lusajo,Nizar Khalfan,Washambiliaji ni Didier Kavumbagu,Jerryson Tegete,Mrisho Ngasa,Shabani Kondo na Huseni Javu(22players).
Imebaki nafasi ya wachezaji watatu ili kukamilisha idadi ya wachezaji 25,na katika wachezaji hao watatu mmoja ni mshambuliaji kutoka nchi za africa magharibi na wachezaji wawili watapandishwa kutoka katika timu ya vijana.
Huo ndio mziki wa Yanga naomba kuwasilisha: