hili linchi!!!!!

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
9,574
10,285
kwa kweli sijivunii kabisa kuwa raia wa nchi hii,cjui kwa nn nilizaliwa hapa,hata majirani zetu wanatudharau sana,wanatuona sie ndo mapimbi namba mja duniani,kwani tuna kila kitu kinachoweza kutufanya tuwe juu kwa kila kitu lakini waaapi,ndo maana nikisafiri kwenda nchi za nje mi najifanya ni msenegali tu kuepuka hii aibu
 
Ni wazi kwamba hukuchagua kuzaliwa nchini kwetu lakini unaweza kuchagua wapi ukaishi, kwa hiyo unaweza tu ukaamua kwenda huko kwa majirani zako kimya kimya! Mimi nafikiri labda hao majirani zako hukuwaelewa vizuri nafikiri walimaanisha wewe na familia yako ndio mapimbi na sio watanzania woote, sio kila mtu anaweza kuelewa mwingine anamaanisha nini hasa ukichukulia kama upande wa mpokeaji habari ana ubongo mdogo kama ulivyodhihirisha!

steveachi unadhani maisha ni rahisi rahisi? Be the change you want, kama kuna kitu kinafanya usiipende kuwa kati ya wale wachache na wenye udhubutu wa kuleta mabadiliko for the better instead ya ulalamishi... Na aliye zaliwa Somalia, Syria aseme nini? Hizi ni kufuru mkuu..
 
Last edited by a moderator:
hellow,kila nchi ina mapungufu yake,na katika nchi zingine kuna wananchi wengine wanataman wangezaliwa Tz,i'm proud to be Tanzanian.
 
najivunia sana kuwa mwafrica hasa wa tz..ila sasa kila nikichek hali ilivyo hapa nchini kwetu naishiwa nguvu!!! dah mungu bariki tz na uiponye pia.....
 
najivunia sana kuwa mwafrica hasa wa tz..ila sasa kila nikichek hali ilivyo hapa nchini kwetu naishiwa nguvu!!! dah mungu bariki tz na uiponye pia.....

wewe kweli unasafili nnchi za nnje kweli???unawajua hao Wasenegar maisha yao yalivyoo??? wangekua na maisha wasingekua wana tembea na MAIRIZI...mwili mzima maana nao wameisha kata Tamaa ya Maishaa......
 
soma nlichoandika na uelewe(kabla hujaropoka)..mimi sijaongelea maswala ya senegal!! mimi cjaongelea maswala ya kusafiri!! USIKURUPUKE KIJANA ELEWA MADA KABLA YA KUJIBU..nawakilisha
 
soma nlichoandika na uelewe(kabla hujaropoka)..mimi sijaongelea maswala ya senegal!! mimi cjaongelea maswala ya kusafiri!! USIKURUPUKE KIJANA ELEWA MADA KABLA YA KUJIBU..nawakilisha
Mwanzisha mada kamalizia hivi ".......................... ndo maana nikisafiri kwenda nchi za nje mi najifanya ni msenegali tu kuepuka hii aibu". Swali aliloulizwa ni je, anawaelewa vizuri Wasenegali? Ni swali muhimu maana kwa kujifanya Msenegali badala ya MTZ maana yake anaona Senegali na Wasenegali ni bora kuliko Tanzania na Watanzania. Hiyo ni sawa na kuwakana wazazi wako kwa sababu hawakusoma au ni masikini. Halikufanyi uwe mzalendo bali zuzu tu.
 
mwanzisha mada kamalizia hivi ".......................... Ndo maana nikisafiri kwenda nchi za nje mi najifanya ni msenegali tu kuepuka hii aibu". Swali aliloulizwa ni je, anawaelewa vizuri wasenegali? Ni swali muhimu maana kwa kujifanya msenegali badala ya mtz maana yake anaona senegali na wasenegali ni bora kuliko tanzania na watanzania. Hiyo ni sawa na kuwakana wazazi wako kwa sababu hawakusoma au ni masikini. Halikufanyi uwe mzalendo bali zuzu tu.
uko sawa kabisa!! Lakin kumbuka mimi sio mwanzisha mada,sasa inakuaje unanichukulia mimi kama mwanzasha mada? Hayo majib ilibid umpe yeye coz ndo aliyesema maneno hayo,kwamba anasingizia yeye ni mtu wa senegal na mengine meng!! Nadhan hap ulidandia treni kwa mbele..pole sana!!
 
kwa kuwa marekani kwenyewe ambapo wengi wenu munapaabudu kimaisha,wanchi wa huko waliandamana haswa maeneo ya wall street kutokana na ugumu wa maisha na kupigwa virungu na kuvunjiwa mahema mpaka wakarudi majumbani kwao,na kwa kuwa huko huko marekani wanajeshi waliolitumikia jeshi la huko wakipata ulemavu na kurudi kwao wanavyodhalilika kimaisha,nina kila sababu ya kujivunia kuwa mtanzania!
mwanaume kama hukuajiriwa si mwisho wa maisha!
mashirika mengi tajiri ya ulaya yanapunguza idadi ya wafanyakazi wake kutokana na hali ngumu ya kibiashara!
kazeni kamba musije kuolewa watoto wa kiume!
 
ninajivunia kuwa Mtanzania, ila mwelekeo wa nchi hii unaniumiza sana! natamani kama muujiza ungetokea ukabadilisha mitazamo na fikra zetu, kama jirani zetu Rwanda wameanza kidogo kidogo lakini wanchukua kasi wanaondoka! watatuacha hapahapa! EE MUNGU uingilie kati utusaidie!
 
Back
Top Bottom