Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,260
- 4,132
Kwenye Management kuna Theory ya Administrative Theory ambayo imeweka 6 Functions za Management na 14 principles of management . Theory hii hutumika jeshini na kwenye Intelligence Institutions kwa ajili ya UTII na Chain of Command.
Katika hizi 14 principles kuna Chain of command, Authority/ Power , Discipline na Unity of direction.
Ukiwa kama Manager na ukashindwa kusimamia hizi principles , that means wewe ni failure.
Juma inawezekana ni good manager lakini anakosa Fundamental Character Ethics za Management. Aende crush course.
Kitendo cha Dejan kulalamika kutopewa pasi na Okrah despite kwamba yupo kwenye better position Ina nullify Unity of Direction ya timu na kitendo cha kutaka kupigana ina maanisha manager ameshindwa ku executes na ku transfer authority au POWER yake Kama Manager. Kama wameweza Ku misbehaving mbele ya head coach , you can be sure kuwa something is wrong kwenye management ya Juma.
and that means , Kocha has poor management skills .
Mpira wa kisasa unawataka mawinga pia wawe wanashinda magoli hivyo imewapelekea kuwa SELFISH and that is really bad maana lengo la timu ni ushindi na Sio Individual success. Mchezaji kama Okrah hawezi kuwa ni msaada kwenye timu. He is all about himself and immaturity.
Gregory’s theory inasema by nature man is Self centered, so wakati mwîngine as a manager lazima uwe aggressive kuhakikisha kuna Discipline na Utii, otherwise you are going to fail
Klabu ya SIMBA ni kubwa, matukio kama haya yana question UKUBWA wa simba , kuwa hii ni Klabu kubwa au ni Klabu ya wahuni na wavuta Bangi ?
Juma, Hili lifanyie kazi lisijirudie tena .... inaharibu sana CV Yako katika Realms za Management as Head Coach. Hata hivyo kwa miaka 2 sasa benchi la ufundi la simba halina nidhamu. Na hii yote ni dhahiri kuwa failure kwenye management.
The chain of Command.... Order and Power must come from only one person and then it goes down following the chain to the lowest level. Hii kitu simba HAIPO . NI MAMBO YA AJABU NA HOVYO.
Simba, fundisheni Nidhamu wachezaji wenu hasa wale wanaoonekana are not well trained maana ya Team work !
——————