Hili jina la wala mihogo litakuja na balaa lake hapa mjini

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,368
Si bado wanatumia jina hili kama kejeli, siku tukianza kuwalima msibadilishe kauli zenu, eti eh wana nunua mechi au wana roga sana.

Kuna majina yanakuja na baraka zake. Kama hili la wala mihogo, ni jina kwanza la heshima, pia la ubabe na lenye asili ya Kiafrika.

Tunaanza kulima wenzenu huko Tunisia tariki 9, halafu ninyi wengine mkutaniwe mkimwagilia maji ardhini ili jembe likalime muhogo vizuri.
 
Si bado wanatumia jina hili kama kejeli, siku tukianza kuwalima msibadilishe kauli zenu, eti eh wana nunua mechi au wana roga sana.

Kuna majina yanakuja na baraka zake. Kama hili la wala mihogo, ni jina kwanza la heshima, pia la ubabe na lenye asili ya Kiafrika.

Tunaanza kulima wenzenu huko Tunisia tariki 9, halafu ninyi wengine mkutwe mkimwagilia maji ardhini ili jembe likalime muhogo vizuri.
tatizo la ninyi ni wazee wa fantasy badalaa ya kucheza na uhalisia wa football
 
Wewe utakuwa umetoka kula hogo.
Na baridi ilivyo kali hii.
20221108_021610.jpg
 
Back
Top Bottom