Hiii dunia kweli ni uwanja wa visa..

Jamani Raha kweli lol!!!Na mie natafuta mtu wa kunipa ujauzito jamani tumeni applications fasta yangu itakuwa na terms of reference kabisa.;)

we JS kuna watu tumebarikiwa huku, ohooooooooooo......... bahati yako nimepata mchumba hivi karibuni na tunatarajia wewe ndio utakuwa mhazini, vinginevyo..........
 
Jamani Raha kweli lol!!!Na mie natafuta mtu wa kunipa ujauzito jamani tumeni applications fasta yangu itakuwa na terms of reference kabisa.;)

Nataka nikupe sasa ujauzito,naapply kazi hiyo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom