Hii sentensi ina ukweli gani?

na kama mvulana anaishi na baba anayempiga mkewe, utegemee kupighwa sana ukiolewa nae?


...sahihi kabisa, mara nyingi ndiyo mtizamo ataokua nao huyo mtoto kuwa ni haki yake kumtandika mkewe, unless kama aliikuwa na huruma na ku side na mama yake!
 
na kama mvulana anaishi na baba anayempiga mkewe, utegemee kupighwa sana ukiolewa nae?

This may or may not be the case, kuna vijana wamelelewa katika familia kama hizi but they grow up to be completely different from their fathers, infact wengine wanaweza kumchukia baba yao sana. they grow up to be very kind to womenfolk.

my take abt this thread ni kuwa this is just a sterotype.
 
Perception aliyonayo binti kuhusu baba yake itafanana sana na jinsi anavyowaona wanaume. Sasa babake kama anaishi na mwanamke mwingine halafu ukute mama mtu anamsema vibaya mzazi mwenzie, ....ni balaa rafiki yangu!

Zingatia post yangu hapo juu, usifanye assumptions.

This is true.



.


Unatakiwa kuwa makini sana unapooa aliyelelewa na mama tu kuliko unapooa aliyelelewa na wote...
 
Hii Sentensi was build from point of view kuwa mdada kalelewa na single parent ambaye ni mama....baada ya baba na mama yake kutoelewana au baba kuwa mlevi moja,mgomvi mbili au kutowajibika..mama akasimama baada ya kushidwa mvumilia baba ya mtoto akambeba mwanae na kumtuza sasa mama katika kukuza mtoto akashidwa ku overcome yale mapito akiwa kila akimkumbuka mzazi mwenzie sasa...anawasema wanaume wote kuwa ni namna ile.Sasa na mtoto nae anakuwa katika saikological kuwa ndio walivyo.Moja

Hii tena inaweza kuwa imejegwa...kwa mama aliye pata ujauzito katika kipindi hicho....cha ujauzito...akajifungua..na baba akamwacha kwa sababu labda mama alibadilika...sasa wale au yule mtoto kalelewa chini ya single roof with single side parent ambaye ni mama..na mama amekuaw akitreat hata kijanakazi pale nyumbani(kama ni wa kiume )as if sio lolote kwani anamlipa./...sasa ile tu inajenga japo wakati mwingine sio moja kwa moja kwa mtoto yule...na kuitoa tu kwa kuwa ume muona...ni ngumu need time sana...wakati mwingine hupelekea hata kushidwa kabisa...all i advice kama mmeshidwana na mumeo..please dont transfer that ugomvi kwa mtoto...mwambie baba yake na mleee kama baba yupo tu..ili usiendelezee tatizo.
 
kuna familia nipo nayo very close, tumeishi kijiji kimoja. mama aliwazaa 5, wadada 3 na wakaka 2. mama alikuwa analea watoto wote peke yake, tena kwa ugumu kidogo maana mama hakuwa na kipato kizuri. alichohakikisha ni kuwa watoto wake wote wanaenda shule.
kwanza wale wadada ndo walikuwa mfano wa tabia njema pale kijijini, nakumbuka nyumbani ukikosea tu unatolewa mfano "si unaona watoto wa mama fulani walivyo watii" yaani kila mama alitamani watoto wake wawe kama wa yule mama. hao watoto wote wameolewa, wanaishi na waume wao vizuri sana, na wanafanya kazi nzuri tu.
so ni malezi ndo yanayopelekea binti yako aweje, siyo sababu uliwalea peke yako.
kuna wadada wengi tu ambao wametoka kwenye familia iliyolelewa na baba na mama ni balaa
 
na kama mvulana anaishi na baba anayempiga mkewe, utegemee kupighwa sana ukiolewa nae?


Mawili; aidha kupigwa sana ama kuwa supportive sana....................yote yanaweza kutokea inategemea ni katika wakati gani alikuuja kutambua kuwa kupigwa kwa mama was wrong na pia ni mapenzi ganina makuzi gani amepokea kutoka kwa baba yake
 
Unatakiwa kuwa makini sana unapooa aliyelelewa na mama tu kuliko unapooa aliyelelewa na wote...


The same goes to the other side! Nadhani aliyelelewa na baba peke yake ndio worse..............nina experience!:mad2:
 
Hapana Buswelu,

Their misfortune was not self inflicted ... there are so many misfortunes that can befall anyone but i believe this does not affect the inner most person one is ... There are things that come naturally mathalan love ... there is no difference between the two groups ...vitu vingine just needs kufundishwa, then one can adjust ... otherwise hata shuleni pia wangewabagua watoto kama hawa .... who unfortunately are many.

how then do you judge a child whose father died when she was only an infant .. would you not really want to marry her just because of this situation ...

and hey, look here my friend ... most men these days are becoming very irresponsible, hata akiwepo nyumbani anakuwa kama picha tu ... this category is growing daily infact most women are raising their kids single handedly ... you will agree with me that such kids can live in any kind of situation because they know life in reality as they see their mother suffer and try to make ends meet ... they know the value of sacrificing ones self for the sake of the other ... they learn patience in its essence ... they also learn to depend on God as most of the time they pray for their mothers to succeed.
Umeongea kweli tupu
 
Back
Top Bottom