Hii safari lazima uwe na moyo mgumu

Collins

Senior Member
Jul 19, 2012
145
48
6909146275_b42f1c7627_z.jpg
 
hii itakuwa Mlima wa Mtonga karibu na Iringa huko kwa watani wangu Wahehe............
sidhani kama inaweza ikawa,ebu angalia kwenye ukingo wa korongo kuna mtu sijui anapanda au anashuka na kamba....pande za iringa kuna uwezekano huo wa kamba?
 
wapi barabara za ugweno usang mbona ndiohivyo?

Picha hiyo ni ya North Yungas Road au El Camino de la Muerte (Spanish for Road of Death) ina urefu wa mile 43 ikiunganisha miji ya La Paz na Coroico nchini Bolivia katika milima ya Andes. Haifai, na hizo unazotaja Barabara za Ugweno na hata zile za Makete ni cha mtoto!!! [FONT=comic sans ms, Arial, Helvetica]Ukisafiri barabara hii roho yako uiache nyumbani.






[/FONT] death road 24 458.jpg [FONT=comic sans ms, Arial, Helvetica]
[/FONT][FONT=comic sans ms, Arial, Helvetica]




[/FONT] Yungas-Road1.gif [FONT=comic sans ms, Arial, Helvetica]

[/FONT]
 
Back
Top Bottom