Hii Nyumba inapangishwa mbezi beach

Plot Agent

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
311
20
Nyumba ina 3bedroom(1master),sittingroom,public toilet,kitchen,dinning,parking
#kodi laki6/mwezi
#0752953860
 
Attachments

  • 1399628884873.jpg
    1399628884873.jpg
    42.9 KB · Views: 475
Kaka Dalali - ongeza picha za ndani. Halafu 'toilet public' ya kuchangia na nani. Hiyo nyumba ya uani?

Wewe kwani "public toilet" unataka kuchangia na nani? Picha hiyo inatosha kama wewe mpangaji utakuja kuiona
 
Last edited by a moderator:
Wewe usikute bado unapanga foleni nyumbani kwenda kula, hivi vitu vya wakubwa kijana utaota ebu kalale
 
Kaka Dalali - if those are your metrics of manhood, then I am really out; I have no idea why this type of people still exist. Unataka biashara, halafu unaringa. Sad.

Teh..Teh...Nina maringo ila biashara yangu haina maringo, njoo na lugha ya kibiashara tutaelewana otherwise note that "business and the owner of business are two different entities"
 
Last edited by a moderator:
Kaka dalali nenda shule ujifunze customer care acha kufanya biashara kw mazoea,mambo yamebadilika.kwa msaad nitafute.nikupe mbinu uendelee kukaa mjini.agency kibao zipo zinawatafutia w nyumb mpk za laki sembuse wewe?
Jipange kaka dalali.
 
Nenda zako nyinyi watoto jf nani asiye wajua kazi yenu humu kulibu biashara za watu, wewe endelea ntajua nikupate vipi
 
Aisee wewe hovyo sana. Hivi atakayekubali uwe landlord wake labda awe mwanafunzi asiyekuwa na alternative. Ushauri mzuri, unatemea mate. You are an idiot, lakini you aren't the first - nimeona wengi tu humu wenye tabia kama yako. cc: Kaka Dalali

Nenda zako nyinyi watoto jf nani asiye wajua kazi yenu humu kulibu biashara za watu, wewe endelea ntajua nikupate vipi
 
Last edited by a moderator:
Kaka Dalali that is where you are totally wrong. The owners philosophy is the business.

Teh..Teh...Nina maringo ila biashara yangu haina maringo, njoo na lugha ya kibiashara tutaelewana otherwise note that "business and the owner of business are two different entities"
 
Last edited by a moderator:
Aisee wewe hovyo sana. Hivi atakayekubali uwe landlord wake labda awe mwanafunzi asiyekuwa na alternative. Ushauri mzuri, unatemea mate. You are an idiot, lakini you aren't the first - nimeona wengi tu humu wenye tabia kama yako. cc: Kaka Dalali

hahahaa, wewe panga tu bana, huyo siyo landlord, landlord yeye anaangalia malipo yake tu.
 
CYBERTEQ inaonekana ni nyumba ya kwanza ndio maana anachemka hivyo. Hajui watu wanatafuta pango kwa sababu ya mipango ya maisha na sio kwa sababu hawana hela ya ujenzi.

Loh!.....mbona mnapena lugha ngumu hivi wakati mnatakiwa mpeane pesa?
 
Last edited by a moderator:
CYBERTEQ inaonekana ni nyumba ya kwanza ndio maana anachemka hivyo. Hajui watu wanatafuta pango kwa sababu ya mipango ya maisha na sio kwa sababu hawana hela ya ujenzi.

huyu dalali lana lugha ngumu kweli, sijui akiwa mwenyenyumba itakuwaje!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom