Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Ukweli itakuwa ni baada ya masaa machache kupita toka pale mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi kumtangaza rasmi DR Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mshindi katika mbio hizi ambazo zinashirikisha wagombea waliokata tamaa kutoka upinzani.
tena ushindi wenyewe hautakuwa wa kubabaisha,bali wa kishindo tena kwa zaidi ya silimia 90!!
wananchi wake kwa waume,nwazee kwa vijana,watakuwa njiani asubuhi ya tarehe 1 nov 2010 kwenda pale uwanja wa taifa kumshuhudia kipenzi chao DR JK akiaipishwa kuwa rais kwa awamu ya pili huku Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini profesa Ibrahim Haruna Lipumba akiwawakilisha mamilioni ya wana CUF nchini katika kuonyesha siasa za kistaarabu pale atakapotamka rasmi kuutambua ushindi mardaaaaaaaaaaad wa CCM,na pia tukimsikia kupitia vyombo vya habari DR slaa akilalama kuibiwa kura na kuzipandisha hasira na jazba za wanachadema kuandamana na kumwaga damu ili waingie ,katika serikali kupitia mlango wa nyuma!! hii ndio halisi.karibuni mtukane wana chadema