Hii ni kweli ya Magufuli au ni safisha UKAWA na visasi?

Anahusika kwa sababu ya wingi wa kontena au kwa kuwa anahusik kwa uzembe au ufhifu It does not make sense!
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia hili naomba anipe usahihi. JPM alizuru ofisi ya PM jana, leo PM -( hawavumi lakini wamo) akatinga bandarini akaibuka na issue, jioni mtu akatemwa na Dr Mapngo akapew kazi! Haya ni maigizo kama ya muhimbili? sijui yataisha lini.
acheni Ujinga

Magufuli tunaona anafanya alafu unasema maigizo
 
mimi ukawa lakini uyu jamaa na aina ya kama uyu awe ccm , ukawa au chauma lakini wafukuwe na magufuli funga wote wa aina hiyo.ifike wakati vyama tuweke kando nchi first. mabadiliko ndo haya, iwe lowassa au magufuli haya ndo tuliyo ya tegemea. magufuli chapa job
 
tuheshimiane kwa vipato vyetu halali.so mtu akiwa serikalini anakuwa tajiiiri alafu analipwa laki nane
 
Mkuu Inapofikia mahala pa utendaji ulio bora tunapaswa kuweka pembeni itikadi za vyama vyetu. Ukawa ipo kwasababu ya mabadiliko, Sasa kama Magufuli kaamua kuleta mabadiliko na tunaona harakati zake ni nzuri kwanini tusi msupport. Kama utendaji wako ni mbovu haita saidia kitu endapo utakuwa migongoni mwa vyama vya upindani wala CCM. Tunacho taka sisi ni watendaji wabovu wote ndani ya serikali kuwajibika. Itikadi za vyama tuweke pembeni. Tumsupport huyu bwana kwani kaanza vizuri.
exactly mkuu.

Mimi naipenda TANZANIA Zaidi

at least now uzalendo utarudi

I can proudly sing my national antheem

safi sana JPM
 
We kweli zombi?hao watu wanaoondolewa na si kuna sababu?au wanaondoka tu hivi hivi?
 
Nimefuatilia swala la kashfa ya TRA leo iliyosababisha Kamishna wake Rished Bade kusimamishwa kazi na kukaimiwa/kuteuliwa ndugu Mpango Philip.

Hapa sileti siasa lakini timuatimua hii iangaliwe kwa jicho la tatu maana binadamu wote huwa na roho ya kisasi aidha kwa wema au ubaya.Sijasikia tume iliyoundwa kuchunguza mienendo na utendaji wa watumishi ktk nyanja kuu za serikali lakini timua timua inaendelea.

Je hizi taarifa anazofanyia kazi mh.zinapelekwa na watu waminifu au watu wa visasi?

Kama ni kweli kuna ukweli na yuko sahihi basi nafhani hata rais msitaafu wa juzi achunguzwe maana haiwezekani madudu yako jujuu inakuwaje hayakuonekana wakati alisifiwa kwa uongozi wake?

Rais wangu mh sana Dr Magufuli ni vema waleta taarifa nao ukawachunguza wasikuchonganishe na watumishi ukashindwa hata kumuamini hata mmoja mwisho wa siku ukakosa wa kukusaidia.Inawezekana Ukawa-Ccm ikawa inafanya kazi ukadhani wanakusaidia.Kwa kuwa watu tumeumbwa kila mmoja na Envy yaani wivu ni vizuri kuwa makini na taarifa kabla hujazifanyia kazi.

Nimekukubali kwa kasi na utendaji kama utaendelea na ongeza speed maana nchi ilipofikia inahitaji kiongozi mwenye busara na hekima pamoja na Udikteta wa kidemokrasia.

Pamoja na hayo ni vema ujawa makini na taarifa unazoletewa kabla ya kuzifanyia kaz maana naamini huzipati ghafla pale unaposhtukiza ila unakuwa na prio info zinazokusukuma kufanya maamuzi.

Isiwe safisha Ukawa maana inasemekana kuna watumishi waliotumia uhuru na demokrasia kumuunga mkono mgombea wanaomtaka wasivhukuliwe waasi bali wenye uhuru na nchi yao kama walioamua kuwa ccm.Kuwa ccm au Ukawa ni maamuzi ya mtu na haingiliwi katika kuchagua atakacho isipokuwa ubadhilifu.

Lakini kama wanawajibishwa kwa utovu wa nidhamu na ubafhilifu ni haki yao.

Maamuzi na taarifa unazotumia zisiwe na hata chembe ya Uchama wala siasa.maana hata wewe ni binadamu.

Kumbuka Ukawa wamesaidia kupatikana kwa taarifa za ubafhirifu mwingi na watu kuachia nyadhifa zao hvyo wanahitajika.Upinzani ni Watching dogs wa serikali yako na ukiweza usisite kuteua mawaziri wanaofaa ili wakusaifie ili serikali yako iondoe harufu ya uchama iwe ya watanzania wote.

Mungu akulinde akupe maisha marefu.

Wewe kweli hamna kitu majipu yanatumbuliwa wewe unaongelea vyama ama kweli watanzania wengine ni wagumu kuelewa kwani ubadhilifu na uzembe una uchama?
 
Ninamuommba Mh. Rais aisafishe TRA afukuze watumishi wote waajiriwe wengine. Afukuze kwa awamu au kuhamishia mawizarani kwa kuwa wana utumishi wa kudumu na pensheni. Aanzie Management then seniors mpaka ofisa. Wapya hawawezi kufanya wizi mapema na wamulikwe hasa. Waajiriwa TRA waliifanya yao. Sambamba na hilo buashara za lake oil, uda, millennium hotels bagamoyo, puma, home shopping centre iliyofunga buashara na nyingine nyingi zichunguzwe. Mh Rais wangu ifanye Ikulu takatifu sasa na si kituo cha biashara.
 
Kk km kunategemez wako anamichezo km hii yop hatian anapigwa dundo life linaendelea... wengi tupo ukawaka lkn ukwel Mh Magufuli anatupa moyo.... na tunaimani tena nchi ytu kwa msimamo alionao...
 
Magufuli nj moto wa kuotea mbali,we unaruhusu makontena ya pite bila kulipa halafu unakomaa na bodaboda lazima awajibike
 
Nimefuatilia swala la kashfa ya TRA leo iliyosababisha Kamishna wake Rished Bade kusimamishwa kazi na kukaimiwa/kuteuliwa ndugu Mpango Philip.

Hapa sileti siasa lakini timuatimua hii iangaliwe kwa jicho la tatu maana binadamu wote huwa na roho ya kisasi aidha kwa wema au ubaya.Sijasikia tume iliyoundwa kuchunguza mienendo na utendaji wa watumishi ktk nyanja kuu za serikali lakini timua timua inaendelea.

Je hizi taarifa anazofanyia kazi mh.zinapelekwa na watu waminifu au watu wa visasi?

Kama ni kweli kuna ukweli na yuko sahihi basi nadhani hata Rais msitaafu wa juzi achunguzwe maana haiwezekani madudu yako jujuu inakuwaje hayakuonekana wakati alisifiwa kwa uongozi wake?

Rais wangu mh sana Dr Magufuli ni vema waleta taarifa nao ukawachunguza wasikuchonganishe na watumishi ukashindwa hata kumuamini hata mmoja mwisho wa siku ukakosa wa kukusaidia. Inawezekana UKAWA-CCM ikawa inafanya kazi ukadhani wanakusaidia. Kwa kuwa watu tumeumbwa kila mmoja na Envy yaani wivu ni vizuri kuwa makini na taarifa kabla hujazifanyia kazi.

Nimekukubali kwa kasi na utendaji kama utaendelea na ongeza speed maana nchi ilipofikia inahitaji kiongozi mwenye busara na hekima pamoja na Udikteta wa kidemokrasia.

Pamoja na hayo ni vema ukawa makini na taarifa unazoletewa kabla ya kuzifanyia kazi maana naamini huzipati ghafla pale unaposhtukiza ila unakuwa na prio info zinazokusukuma kufanya maamuzi.

Isiwe safisha UKAWA maana inasemekana kuna watumishi waliotumia uhuru na demokrasia kumuunga mkono mgombea wanaomtaka wasichukuliwe waasi bali wenye uhuru na nchi yao kama walioamua kuwa CCM. Kuwa CCM au UKAWA ni maamuzi ya mtu na haingiliwi katika kuchagua atakacho isipokuwa ubadhilifu.

Lakini kama wanawajibishwa kwa utovu wa nidhamu na ubadhilifu ni haki yao.

Maamuzi na taarifa unazotumia zisiwe na hata chembe ya Uchama wala siasa maana hata wewe ni binadamu.

Kumbuka UKAWA wamesaidia kupatikana kwa taarifa za ubadhirifu mwingi na watu kuachia nyadhifa zao hivyo wanahitajika. Upinzani ni Watching dogs wa serikali yako na ukiweza usisite kuteua mawaziri wanaofaa ili wakusaifie ili serikali yako iondoe harufu ya uchama iwe ya watanzania wote.

Mungu akulinde akupe maisha marefu.

Kwa hiyo wewe humjui habibu? Na mali zake zisizo elezeka? Acha udwanzi
 
Jk na mtandao wake walituharibia nchi yetu sana.bahati yake na yeye ana kinga ya kutoshtakiwa,vingnevyo tungeanza nae,maana hata haya madudu yamefanyika wkt wa utawala wake nae akawa kimya tu.
 
Jamaa c alikua anataka ukawa wapite aendelee na madyudyu yake,sa kapita mtu ambae hana urafiki,
Unajua hawa matajili wetu bhana wakati wa kampain wanatafta rafiki wa kulinda madyudyu yao,ndo maana m2 akijulikana anaenda kua raisi wanatafta urafiki nae,sasa jamaa kashtukiza uraisi,mbna matumbo joto saiv,na mali zao zinachunguzwa sa kama zinaendana na mshahara
 
Makontena 349 yamepotea wahusika wametoa macho hawana cha kujitetea bado unashauri iundwe tume kuchunguza. Acha kuturudisha nyuma hapa ni kazi tu walijisahau sana hawa watu
 
Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya,najua kwa sasa ni lawama kila kona..ukizingatia tumezoea kufanya kazi kwa mazoea..
 
Nimefuatilia swala la kashfa ya TRA leo iliyosababisha Kamishna wake Rished Bade kusimamishwa kazi na kukaimiwa/kuteuliwa ndugu Mpango Philip.

Hapa sileti siasa lakini timuatimua hii iangaliwe kwa jicho la tatu maana binadamu wote huwa na roho ya kisasi aidha kwa wema au ubaya.Sijasikia tume iliyoundwa kuchunguza mienendo na utendaji wa watumishi ktk nyanja kuu za serikali lakini timua timua inaendelea.

Je hizi taarifa anazofanyia kazi mh.zinapelekwa na watu waminifu au watu wa visasi?

Kama ni kweli kuna ukweli na yuko sahihi basi nadhani hata Rais msitaafu wa juzi achunguzwe maana haiwezekani madudu yako jujuu inakuwaje hayakuonekana wakati alisifiwa kwa uongozi wake?

Rais wangu mh sana Dr Magufuli ni vema waleta taarifa nao ukawachunguza wasikuchonganishe na watumishi ukashindwa hata kumuamini hata mmoja mwisho wa siku ukakosa wa kukusaidia. Inawezekana UKAWA-CCM ikawa inafanya kazi ukadhani wanakusaidia. Kwa kuwa watu tumeumbwa kila mmoja na Envy yaani wivu ni vizuri kuwa makini na taarifa kabla hujazifanyia kazi.

Nimekukubali kwa kasi na utendaji kama utaendelea na ongeza speed maana nchi ilipofikia inahitaji kiongozi mwenye busara na hekima pamoja na Udikteta wa kidemokrasia.

Pamoja na hayo ni vema ukawa makini na taarifa unazoletewa kabla ya kuzifanyia kazi maana naamini huzipati ghafla pale unaposhtukiza ila unakuwa na prio info zinazokusukuma kufanya maamuzi.

Isiwe safisha UKAWA maana inasemekana kuna watumishi waliotumia uhuru na demokrasia kumuunga mkono mgombea wanaomtaka wasichukuliwe waasi bali wenye uhuru na nchi yao kama walioamua kuwa CCM. Kuwa CCM au UKAWA ni maamuzi ya mtu na haingiliwi katika kuchagua atakacho isipokuwa ubadhilifu.

Lakini kama wanawajibishwa kwa utovu wa nidhamu na ubadhilifu ni haki yao.

Maamuzi na taarifa unazotumia zisiwe na hata chembe ya Uchama wala siasa maana hata wewe ni binadamu.

Kumbuka UKAWA wamesaidia kupatikana kwa taarifa za ubadhirifu mwingi na watu kuachia nyadhifa zao hivyo wanahitajika. Upinzani ni Watching dogs wa serikali yako na ukiweza usisite kuteua mawaziri wanaofaa ili wakusaifie ili serikali yako iondoe harufu ya uchama iwe ya watanzania wote.

Mungu akulinde akupe maisha marefu.

Tanzania ya magufuli siyo ya mchakato, mikakati, tume na mengineyo na sisi tunamuunga mkono.....hebu muache apige kambi....halaf unaongelea ukawa wapi hao adhirikiane nao.......?, hawa waliomzomea siku anazindua bunge.....hebu be serious kidogo.
 
Hakuna hata mmoja TRA alie msafi, wote wizi. Na huyu kamishna ndio jambazi mkumbwa. Na kama alikua ukawa basi aongezewe miaka jela kama atashitakiwa.

Kamanda nakuunga mkono tra wote wezi contena hazikuanza kuibiwa leo na bade alikuwa anafaham lkn alikuwa hachukui hatua ni kuwayimua tu na kuyafunga majuzi.
 
Back
Top Bottom