Nilikuwa napitia kitabu kinachoitwa This is love. Mwandishi wa kitabu hicho anasema iwapo watu wa jinsia mbili tofauti na wasio na undugu wowote, na kama wanakaa ofisi moja huku viti vyao vikiwa vimetizamana na hivyo kuwafanya nao watizamane(kama mkao wa daktari na mgonjwa), siku ya mwisho hujikuta wakiangukia katika mapenzi.
Onyo: mkiwa ofisini wekeni viti vyenu katika mkao ambao hamtaangaliana. usijaribu
Onyo: mkiwa ofisini wekeni viti vyenu katika mkao ambao hamtaangaliana. usijaribu